Flashes Kwa bei jumla ni sh ngapiKwa wanafanya au wanaotaka kuanzisha biashara ya kuuza simu au vifaa vya simu,unaweza kunicheki kupata ili upate bidhaa hizo kwa bei ya jumla jumla
0787641107
kariakoo,
Tena mamaangu ndo alikua mtengenezaji mkubwa wasabuni.halafu sikujuaga wapi alikua ananunuaNaomba msaada kwa anayejua maduka au mtu anayeuza materials za kutengenezea sabuni
Ulete tunausubiriKuna uzi upo hapa kitambo tu.
Ngoja nikuletee
Ulete tunausubiri
Nipeni like...nishaupataUlete mkuu, tunausubiri
TuleteeeKuna uzi upo hapa kitambo tu.
Ngoja nikuletee
Ulete tunausubiri
Ulete mkuu, tunausubiri
Naenda kuwa tag kwenye huo uzi maana naona uko mbali sanaTuleteee
Shukrani madameNaenda kuwa tag kwenye huo uzi maana naona uko mbali sana
Nimewatag nyuzi 3.Shukrani madame
Habari wakuu, poleni kwa majukumu yakulijenga taifa..... Kama kichwa kinavyosema hapo juu ninataka kujua machimbo ya nguo nzuri (mtumba au special) pamoja na viatu kwa bei poa (cheap) sio kwa hawa wamachinga .... Cz ninampango wakufanya hiyo biashara soon lakini haya machimbo sijui yalipo .... Msaada wakuu