Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Mkuu nitag nami pia niupitieNimewatag nyuzi 3.
Huko ndio kuna kila kitu.
Kuanzia masoko, usafirishaji, mitaji, sehemu za kufikia, n.k......n.k
Karibu mkuu
Poa.Mkuu nitag nami pia niupitie
AsantePo
Poa.
Ngoja niende nikautafute
Poa.Asante
Ubarikiwe sana MkuuPoa.
Nakutag zipo nyuzi 3.
Tayari mkuu zote 3.Ubarikiwe sana Mkuu
Nakushukuru kuna kitu nakipataTayari mkuu zote 3.
Kuna moja naitafuta ndio inaeleza bei, jinsi ya kusafirisha, sehemu za kufikia, na kila kitu.
Nikiupata nitakutag pia huko
Ok mkuu.Nakushukuru kuna kitu nakipata
Mnazi mmojaMie naomba nielekezwe sehemu wanayouza mabalo ya nguo za watoto grade A
Mtaa wa Pemba karibu na soko la kariakoo ukitokea LivingstoneMkuu ukipata na mie nambie nazitafuta sana
Nenda mtaa wa Libya kituo cha basi barid kwa chini mtaa unaitwa Aggrey ile ya mnazi mmojaNahitaji hizi bidhaa bei ya jumla
Ukipata wanapo uza hizo shea butter nijuze mumy, huku mtaani tunagongwa bei hatari, ukiuliza wanapo nununa hawasemi.
My dear nahitaji product la shea butter kama unajua chimbo lilipoVitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko k.koo.