Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Vitambaa vya kushona kwa k.koo vipo kwa Osama.Ila naweza kukushaur ukanunulie manzese kwani wana bei rahisi sana kuliko k.koo.
My dear nahitaji product la shea butter kama unajua chimbo lilipo
 
As'alleikum !
Naomba nipate support/ ushauri juu ya mashine za popcorn.
Nataka kununua mashine ya
pop corn inayotumia gesi. Tafadhali nijulishe, brand ipi nzuri, inapatikana wapi na ni bei gani ?
Natanguliza shukrani zangu kwako.
 
Back
Top Bottom