Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Samahani waheshimiwa, kwa wazoefuvwa biashara ya nguo za kuchukulia kariakoo ni nguo zipi ziwaweza zikawa na fata faida kubwa kati ya mtumba au za dukani.
 
MMkuu una utu sana ,nmependa uungwana wako aiseee
 
Jamani anayefahamu chimbo LA mapazia Yale wanayouza kwa jola snipe mwongozo please. Kuna mahali yanahitajika.
 
Jamani anayefahamu chimbo LA mapazia Yale wanayouza kwa jola snipe mwongozo please. Kuna mahali yanahitajika.
Kama unaenda Posta upande wa chuo cha DIT na CBE, Ukishavuka ule ukuta kuna duka la mfanyabiashara ana asili ya india anauza bei nzuri na mara nyingi Jumamos anakua na bei ya SALE kwahyo unaweza kupata majora ya mapazia kwa bei chee na kila design.
 
Wakuu msaada wapi kariakoo wanauza hizi bidhaa kwa jumla na bei nafuu, na material nyingine zinazohusiana na mihuri/stamps?


 
Naombeni kuelekezwa machimbo/mtaa wa nguo kali za watoto wa kiume na viatu ya bei nafuu reja reja
 
Naombeni msaada wanapouza yake mabazee kama yaki nigeria au alovaa DIAMOND kwenye nyimbo yake ile 2amevaa costume kama za KIFALME na kama mtu anafahamu bei yake.Ahsanteh
 
Abar zenu jamani, m nipo pemba Zanzibar naomba kujua Maduka ya jumla ya nguo za wanawake, like pencil skate, vikoti, nai nai and other pls
 
Naomba kujua maduka ya taa za urembo na lampshades . bei za jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…