svidala
Member
- Aug 26, 2018
- 15
- 7
Wapi kiongoziWale wanaonunua sim za jumla,,sogeen niwaonyeshe machimbo pale Agrey ambayo hayaonekani kwa wepes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi kiongoziWale wanaonunua sim za jumla,,sogeen niwaonyeshe machimbo pale Agrey ambayo hayaonekani kwa wepes
DarWapi kiongozi
Admin naomba kujiuga na hili group ili tujenge uchumi wa taifa letu.Niunge na Mimi mumy pliz,or send me Link ya group please
Muongozo kiongoziWale wanaonunua sim za jumla,,sogeen niwaonyeshe machimbo pale Agrey ambayo hayaonekani kwa wepes
MMkuu una utu sana ,nmependa uungwana wako aiseeeNgoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah! .
Kama unaenda Posta upande wa chuo cha DIT na CBE, Ukishavuka ule ukuta kuna duka la mfanyabiashara ana asili ya india anauza bei nzuri na mara nyingi Jumamos anakua na bei ya SALE kwahyo unaweza kupata majora ya mapazia kwa bei chee na kila design.Jamani anayefahamu chimbo LA mapazia Yale wanayouza kwa jola snipe mwongozo please. Kuna mahali yanahitajika.
Mkuu bado uko comoro na Yasmin?Wapi naweza kupata jezi za timu za klabu za Ulaya?