Ni pasafi?Nenda pale Magomeni Mikumi kuna NEIBA HOTEL, bei rahisi alfu 15 tu halafu ghorofani usalama tele
Ni pasafi?
Kama pesa mpya
Basi nitasogea hapo
Wapi napata mabalo ya mitumba ya viatu vya kiume grade A.
Nikipata na bei yake itakuwa vizuri zaidi.
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Mabelo ya suruali za jinsi za kiume grade-1 Napata wapi na kwabei gani? Pia suruali za dukani naomba kujua wanapouza kwa bei ya jumla?
Iko mitaa gani mkuu hawana janja janja wahudu maana kuna Lodge moja bei ni buku kumi tu lakini wanakutikisa 20000 kwa ishirini na tanoNenda mkuu
Mkuu ungenitajia na bei ungekuwa msaada mkubwa kwangu ili ninavyofunga safari niwe nimejiandaa.Njoo dukani kariakoo utapata suruali kwa bei ya jumla
Mashuka haya ya kawaida ya kutandikia kitanda na kujifunika yasiyochuja rangi.Shuka zipi unataka?
Sorry kwa kuchelewa kujibu
Malaki nahitaji begi tano nakupataje?Nauza mabegi ya lap top na shule kama PANASO, BIOAWANG kuanzia elfu 16,000 jumla na reja reja 18,000 tupo k.koo mtaa wa Kipata na Swahili.
Yapo ya kutoka uganda yale mazito,, ila yana bei efu 70,ni PM nikuelekeze km hutojali mkuuMashuka haya ya kawaida ya kutandikia kitanda na kujifunika yasiyochuja rangi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu.Yapo ya kutoka uganda yale mazito, ila yana bei efu 70, ni PM nikuelekeze km hutojali mkuu
Pamoja chief
Mkuu mbona PM umefungaYapo ya kutoka uganda yale mazito,, ila yana bei efu 70,ni PM nikuelekeze km hutojali mkuu