Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Chupi zipo mtaa wa duka kubwa la selo
Pale wana bei nzuri kuliko haya ya juu

Mengine upande wa pili wa kituo cha Msimbazi B
Asante sana. Ngoja nimwambie mwenyewe akachungulie mzigo.
 
Bussines as usual, wazee kuna maswali ya baadh ya bidhaa hayajajibiwa na ninataman sana maana nina uhtaji.

1. Viatu vya mtumba vya ofsini (moka) grade A

2. Mashati Mapya kbsa ya ofisini na suruali za vitambaa vyote viwe classic

3.Yale makaratasi ya wallpapers za ukutani (mimi hapa nataka ya kupambia/kuvutia biashara za hotel/cafe n.k, yanakua yanapicha za kuvutia za matunda mbali mbali, juices, vitafunwa mfn sandwich, keki na sambusa pia chakulaa) yanakua ya kung'aa ng'aa hv, jitahd unielewe.
Mkuu Kama hujajibiwa 1&2, basi fika Karume, kuna sehem zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi Karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea na pic mkuu.

IMG_20190107_173803_241.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kama hujajibiwa 1&2 basi fika Karume, kuna sehem zinauzwa moja mpya kabisa za mitumba japo bei zao balaah mpaka 60k, pia mashati mapya jumamosi karume yanafunguliwa !!!!nimekuwekea na pic mkuuView attachment 988684

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sanaa, yaap nataka moka za dizain hiio, kwaio ni vya ku point, jumla/baro hamna? Mm slogan yangu ni "Hasara Roho" yaani nikipenda kitu siangalii gharama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hivyo vishapontiwa, wew unachagua hadi aridhike nacho ndio mnaelewana bei. Kwa kweli kale kachimbo napataga moka Kali aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaingilia hapo main road zinaposhushia gar zinazoenda kkoo na mnazi, then unasogea mbele sana utawakuta washikaji Kama wachaga Wachaga wengi kale kamtaa ndio hapo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili chimbo nimelipenda.....nahitaji maua ya Kichina, msaada kwa Kariakoo nitayapata wapi.
 
Hili chimbo nimelipenda.....nahitaji maua ya kichina,msaada kwa kariakoo nitayapata wapi.
Si Mtaalamu wa Mitaa ila hizo decoration nazionaga Mtaa wa mchikichi na sikuu mitaa hiyo kuna decoration nyingi sana za ndani kiujumla.
 
Back
Top Bottom