Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Kwa Dar sidhan na hata kama vipo bei zao zipo juu kwenye unafuu ni Tanga my dear au huko mombasa maan wengi wanaagiza huko kwa dar ni ghali

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani dada hivi madera ya Kisomali Mombasa yanapatikana? ni bei gani halafu vijora kwenda kuchukua mombasa kwa mtaji wa laki tano unatosha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nikiwa na mtaji wa elfu 50 tu nataka niwe chinga . Kati ya kuuza nguo za mtumba na viatu ni ipi option nzuri?.. kwa Dar
 
Wapi nitapata chimbo la chupi za kike, taiti, boxer, vest, sidilia na soksi.
Na je bei zake zina arrange vipi?
Mwanzo mgumu

Sent using Jamii Forums mobile app

Karibu nikutumie chupi kutoka Guangzhou kwa bei ya jumla
Chupi za Cotton 100%
CHUPI ZA WATOTO WA KIKE 1-5yrs 200dozen (2400pcs) Tsh 1,800,000

CHUPI ZA ZA WATOTO 6-12yrs 200dozen Tsh 1,800,000

BOXER ZA WATOTO WA KIUME 2-12 yrs (200 dozens) Tsh 2,300,000


CHUPI ZA WADADA NA WAMAMA NI TSH 2,350,000 kwa 200dozens 100% cotton!

BOXERS ZA WAKAKA NI TSH 3,900,000 kwa dozen 200 zinakuwa 2,400 pieces

( Unaweza kulipia na USAFIRI moja kwa moja au ukalipia pesa ya usafiri mzigo ukifika warehouse.
COST ZA USAFIRI INAPIMWA KWA CBM 1CBM=380$
Chupi inarange kwenye 0.3-0.38CBM inategemea kama ni za wakubwa
 
Utaratibu wa malipo ukoje?
 
Utaratibu wa malipo ukoje?

WhatsApp +8618857052304

Pitia Instagram page yangu kuangalia bidhaa tofauti na kama unahitaji bidhaa yoyote kutoka China kwa bei ya jumla na kwa wingi
@panda_sourcing
 
Jumla ni kuanzia PC 5 kwa Elfu 18,000 Boss...ukichukua mzigo mkubwaa kuanzia PC 20 nakupunguzia pazuri as mteja kwetu ni mfalme piah

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa aisee ni vile kutokujua tuu mkuu, ningeiona hii post mapema ningeshakuja zamani sana, nilikuwa na uhitaji mkubwa wa kadet nikaangukia kwa mfanyabiasha kimara kwa bei aliyoniuziwa ukilinganisha na bei yako ni kwamba nilipigwa. Sema nimeshachukua namba yako nikikaa vzr nitakuja hpo ofisini kwako. Ornet linganisha bei hku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo 18,000 ni ile grade one?? Ebu funguka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuuliza hapa na unijibu hapa kwa faida ya wengi, najuwa swali langu wengi wanajiuliza kimya kimya.

UTARATIBU WA MALIPO NI UNALIPIA MZIGO
COST YA USAFIRI UNALIPIA UKIENDA KUCHUKUA MZIGO WAREHOUSE

NIKIUPELEKA MZIGO WAKO WAREHOUSE WATANIPA RECEIPT AMBAYO NITAKUTUMIA KUPITIA WHATSAPP INAYOONYESHA NUMBER YA MZIGO
CONTACT INFORMATION ZA MPOKEAJI
NA COST UTAKAYOLIPIA
 
Letter of credit LC is acceptable? Au hayo nalipo kabla assurance yake ikoje kama hakutakuwa na janjajanja yoyote? Maana wenzetu wa online hawana matatizo huko Alibaba ila kuna wakati Wabongo ni pasuwa kichwa.

Ningekushauri utafute mtaji ili kwa wateja commited malipo wafanyie ware house mzigo unapofika.
 
Huyu mtu bado yupo kweli? Maana namchek pm inashindikana,, nataka madini zaidi ya machimbo kkooo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…