hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mimi nilinunua agrey kwa dazani 20000 kuanzia tanoSuruali za kadeti ambazo mtaani tunauziwa sh35000 huwa zinauzwa wapi kwa bei ya jumla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna maduka moja elfu 28 high quality,standard 25, na low quality 23
Chimbo lake lipo wapi?ila kuna maduka moja elfu 28 high quality,standard 25, na low quality 23
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa wenye stationary ya Tahafif unashuka nao moja kwa moja hayo maduka ya hapo karibu na soko la Kariakoo maduka ya kulia na kushoto utapata.Wakuu mwenyekujua hizi cup zinapaikana wapi hapo K/Koo
![]()
![]()
Hata mimi nimeshtuka vijora 6000?Usije kuchanganya vijora na madera ya 6000 Mkuu Huwa vinafanana
Tofauti ya vijora na madera ni ipi?Hata mimi nimeshtuka vijora 6000?
tofauti ya vijora na madera ni ipi?
Tofauti ipo, vijora kuna ambavyo vipo wazi mbele na vinakuwa na kigauni chake cha ndani pia kinaweza kuwa na kamba yake ya kufungia kiunoni. Aina nyingine ya kijora kimezibwa moja kwa moja na kuna vya shifon na cotton pia vinakuwa na kamba yake ya kiunoni
Shifon ndio habari ya mjiniMkuu mfano nikitaka kijora kizito kizito kipi kizuri kati shiffon na cotton
Sent using Jamii Forums mobile app
Adante sana mkuu wewe kweli syo mchoyo hasa hapo kwenye viatu nimekuelewaNgoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah! .
Chukua kijora kizito halafu kam ungekuwa unavifata Mombasa kidog bei ipo chini kule maan ndipo vitokakoMkuu mfano nikitaka kijora kizito kizito kipi kizuri kati shiffon na cotton.
Sent using Jamii Forums mobile app