Grade gani kadeti zako maana zip nilizo wahi nunua kwa bei rahis zikawa zaajabu sanaNinauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.
Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Grade gani kadeti zako maana zip nilizo wahi nunua kwa bei rahis zikawa zaajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei ya jumla ikoje kwa kadeti za grade ya kwanza?Ni grade ya pili
Grade ya kwanza Bei yake Ni kuanzia Elfu 25 Reja reja
Ni mtaa wa Lumumba apo kuna accessories zote za urembo wa magar jumla na rejarejaMi naomba chimbo la jumla la urembo wa
magari
Yeyote mwenye ramani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Machimbo ya magauni ya wamama kkoo wapi mkuu hasa yale kwa ajili ya sendoffSafi leo nina mteja wangu wa musoma ngoja niingie machimbo ya magaun maana kk wanatuuzia bei za juu kumbe ukiingia machimbo unakula faida safi sana
Jumla ni kuanzia pic ngapi??cardet unauzaje kwa jumla??
Jumla kuanzia PC ngap?