Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ninauza Kadeti Kwa bei ya Jumla 18,000/=
Kadeti zinazovutika
Ukiitaji Ngumu pia zipo
Duka Langu lipo Mtaa wa Kongo & Aggrey
Watsupp Number 0759 20 20 25
Insta natumia:Elae_clothing_stores
Pia Pensi kali, Mashati, na Tshirts nk ninazo.


Kukiwa na Swali Lolote waweza kunicheki hata DM
Elae
CEO!

Sent using Jamii Forums mobile app
Grade gani kadeti zako maana zip nilizo wahi nunua kwa bei rahis zikawa zaajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziko poah mkuu
Ni grade ya pili...Ile ya kwanza kabisa Bei zake kwa reja reja ni elfu 25
 
Samahani ndugu charty na wengineo

Unalijua chimbo la nightdress na pajama za kike za mtumba grade A?
 
Habar Wapendwa wote wa JF.

Naomba kama kuna member anayejua location ya MADUKA ya Vifaa vya bajaji TVS King, anitajie hiyo location kwa DAR, Maduka haya yawe ya nauza Vifaa kwa bei ya jumla jumla.

Lengo nataka kwenda kukusanya Vifaa kwa ajili ya kuifufua bajaji yangu iliyolala zaidi ya mwaka sasa.

Pia mwenye mawasiliano ya wauzaji anisaidie

=======A.njema wote =======
 
Mi nataka kujua makampuni ya nje nayoweza kuagizia bajaj za matairi matatu moja kwa moja kama tunavyofanya kwenye magari
 
[emoji91]MSIMU WA EID OG BEI CHEE [emoji3596][emoji91]
_____________________________________
#0759202025
#0785182108
@elae_stores
Tunauza JUMLA NA REJA REJA
MIKOANI NA NCHI JIRANI TUNATUMA KWA UAMINIFU KABISA![emoji1139][emoji1254][emoji1268][emoji1078][emoji1206][emoji1241]
#Ramadankareem
IMG_20190530_063957_788.jpeg
IMG_20190530_063915_949.jpeg
IMG_20190530_064016_794.jpeg
IMG_20190529_112504_032.jpeg
IMG_20190530_063937_316.jpeg
IMG-20190529-WA0099.jpeg
 
Oneline trader kiboko kabisa
V tishrt Kali sana fengli Singapore original cotton fabrics
Haipauk.
Haichuji
Jumla 9000
Reja reja 13k.
Mfanyabiashara mteja njoo online traders hutajuta
Una duk unataka kuwa msambazi njooo
0652472486-mushi cofounder
Location Binslum plaza Pemba/Livingstone strear kariakoo
IMG-20190624-WA0032.jpeg
IMG-20190620-WA0025.jpeg
IMG-20190620-WA0015.jpeg
IMG-20190620-WA0018.jpeg
IMG-20190620-WA0014.jpeg
IMG-20190620-WA0029.jpeg
IMG-20190620-WA0024.jpeg
IMG-20190620-WA0017.jpeg
IMG-20190619-WA0076.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20190624-WA0032.jpeg
    IMG-20190624-WA0032.jpeg
    57.9 KB · Views: 32
Karibuni jamani.
Kama unapata changamoto kufika lilipo duka letu piga namba hizi:
0652 472486
0755 565752
 
Back
Top Bottom