Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ukifiki pale msimbazi kituo cha mwendokasi,ukiwa kama unaelekea fire mwisho wa kile kituo cha mwendokasi kuna barabara inaelekea kushoto kwenye maduka ya jumla ya rasta,maeneo hayohayo we ulizia duka la vipodozi kwa bei ya jumla,watu watakuelekeza maana ni chimbo haswaaa huwezi kupajua kirahisi
Tatizo la wabongo hawataki kuelekeza buana anyway Ntajaribu
 
Naombeni chimbo LA vitambaa hivi wanawake wanavyoshona jamani!
 
Tatizo la wabongo hawataki kuelekeza buana anyway Ntajaribu
Yaani ukishafika kwenye hayo maduka ya rasta ni maeneo hayohayo,mi ningekuelekeza hadi mlangoni ila chimbo lenyewe limejificha balaa na huwa hawaandiki majina
 
Yaani ukishafika kwenye hayo maduka ya rasta ni maeneo hayohayo,mi ningekuelekeza hadi mlangoni ila chimbo lenyewe limejificha balaa na huwa hawaandiki majina
Naomba namba yako mkuu Kesho nikucheki niko njiani to Dar
 
Mkali ignatus peter una kadet za Daokes/Demin,Chase Fashion Style(Vicobss), zile zenye nembo ya cherehani, nembo ya mwewe, n.k?(Bila shaka umefahamu aina nnazoulizia)

Zinasimama bei gani?
Sample unazo utuwekee?

Au mwingine yeyote anayefahamu chimbo la hizi mambo[emoji847][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Mkuuu ignatus peter
 
Mkuu Cadets za Daokes sio maduka Mengi Kariakoo huweka. Mimi nilikua nachukua kwa Special Order pale Sandaland the Only one waliopo Opposite na Soko kuuu Kariakoo. Bei zake hua zimechangamka kidogo. Mfano pale wanauza Moja kwa Elfu 35.
 
Mkuu Cadets za Daokes sio maduka Mengi Kariakoo huweka. Mimi nilikua nachukua kwa Special Order pale Sandaland the Only one waliopo Opposite na Soko kuuu Kariakoo. Bei zake hua zimechangamka kidogo. Mfano pale wanauza moja kwa elfu 35...
Pamoja sana mkuu
 
Msaada kwa anayefaham Chimbo la suruali za mtumba kali za jeans, pia Chimbo la suruali za vitambaa na mashati ya ofisin na Chimbo la Formsix kali. zote hizo ni mtumba.
 
Letter of credit LC is acceptable? Au hayo nalipo kabla assurance yake ikoje kama hakutakuwa na janjajanja yoyote? Maana wenzetu wa online hawana matatizo huko Alibaba ila kuna wakati Wabongo ni pasuwa kichwa.

Ningekushauri utafute mtaji ili kwa wateja commited malipo wafanyie ware house mzigo unapofika.
Hili neno maana kuituma milioni mbili abroad mh halafu anaanza na mtaji mkubwa sana kwa sisi machinga
 
Kuna chimbo lingine kwa hii sandals
Ni bei poa sana 15000Ts jumla.
Kuanzia pc 10.
IMG_20191008_065848.jpeg
IMG-20191008-WA0004.jpeg
IMG_20191007_230354.jpeg
IMG-20191001-WA0001.jpeg
IMG-20191001-WA0004.jpeg
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Mkuu 60,000????Hujaongea nao vizuri tuu hao waduanzi wa karume hapo.Ukienda siku nyingine hakikisha hawakupigi zaidi ya 35,000,mtumba grade 1.

Pia,kuna chimbo moja K/Koo la viatu vipya,wallet,mikanda,n.k,unapata kiatu kipyaaaaaaaa kwa 65000-80000.Mtaa umenitoka kidogo

Mfano wa viatu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


View attachment 1228174View attachment 1228175View attachment 1228176View attachment 1228177
Tuelekezane kiongozi
 
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Kituo cha msimbazi pale yanapopaki magari ya mabibo ndio chimbo la sabuni,mafuta ya aina zote,pafyumu na makolokolo kibao ya urembo yanapatikana mitaa ile
Mkuu na mimi nitaelekea maeneo hayo kufuatilia masoko ya mafuta.
 
Wakuu habari za saa hizi. Nafikiri ni mzima nilikuwa naomba kujuwa au kuelekezwa maduka ambayo wanauza vifaa vya simu kwa bei ya jumla au kama mtu anahusika na mswala hayo anijuze nataka vifaa kama:- chaja za kawaida , fast chaja, Kobe, protector, makava ya simu, bluethoot, USB cable, betri, housing na n.k
Nb: naitaji kwa bei za jumla na sio rejareja natanguliza shukurani .

1570776275638.jpeg
 
Wakuu habari za saa hizi. Nafikiri ni mzima nilikuwa naomba kujuwa au kuelekezwa maduka ambayo wanauza vifaa vya simu kwa bei ya jumla au kama mtu anahusika na mswala hayo anijuze nataka vifaa kama:- chaja za kawaida , fast chaja, Kobe, protector, makava ya simu, bluethoot, USB cable, betri, housing na n.k
Nb: naitaji kwa bei za jumla na sio rejareja natanguliza shukurani View attachment 1229470
Wanakuja kukupa mwongozo mkuu.
 
Back
Top Bottom