Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Tatizo la wabongo hawataki kuelekeza buana anyway Ntajaribu
 
Naombeni chimbo LA vitambaa hivi wanawake wanavyoshona jamani!
 
Tatizo la wabongo hawataki kuelekeza buana anyway Ntajaribu
Yaani ukishafika kwenye hayo maduka ya rasta ni maeneo hayohayo,mi ningekuelekeza hadi mlangoni ila chimbo lenyewe limejificha balaa na huwa hawaandiki majina
 
Yaani ukishafika kwenye hayo maduka ya rasta ni maeneo hayohayo,mi ningekuelekeza hadi mlangoni ila chimbo lenyewe limejificha balaa na huwa hawaandiki majina
Naomba namba yako mkuu Kesho nikucheki niko njiani to Dar
 
Mkuuu ignatus peter
 
Mkuu Cadets za Daokes sio maduka Mengi Kariakoo huweka. Mimi nilikua nachukua kwa Special Order pale Sandaland the Only one waliopo Opposite na Soko kuuu Kariakoo. Bei zake hua zimechangamka kidogo. Mfano pale wanauza Moja kwa Elfu 35.
 
Mkuu Cadets za Daokes sio maduka Mengi Kariakoo huweka. Mimi nilikua nachukua kwa Special Order pale Sandaland the Only one waliopo Opposite na Soko kuuu Kariakoo. Bei zake hua zimechangamka kidogo. Mfano pale wanauza moja kwa elfu 35...
Pamoja sana mkuu
 
Msaada kwa anayefaham Chimbo la suruali za mtumba kali za jeans, pia Chimbo la suruali za vitambaa na mashati ya ofisin na Chimbo la Formsix kali. zote hizo ni mtumba.
 
Kituo cha msimbazi pale yanapopaki magari ya mabibo ndio chimbo la sabuni,mafuta ya aina zote,pafyumu na makolokolo kibao ya urembo yanapatikana mitaa ile
Hauna namba za mmoja wao mkuu?
 
Hili neno maana kuituma milioni mbili abroad mh halafu anaanza na mtaji mkubwa sana kwa sisi machinga
 
Kuna chimbo lingine kwa hii sandals
Ni bei poa sana 15000Ts jumla.
Kuanzia pc 10.
 
Tuelekezane kiongozi
 
Mkuu na mimi nitaelekea maeneo hayo kufuatilia masoko ya mafuta.
 
Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za jumla? Maana wenyeji wengi hawapendi kutupeleka kwenye machimbo.
Kituo cha msimbazi pale yanapopaki magari ya mabibo ndio chimbo la sabuni,mafuta ya aina zote,pafyumu na makolokolo kibao ya urembo yanapatikana mitaa ile
Mkuu na mimi nitaelekea maeneo hayo kufuatilia masoko ya mafuta.
 
Wakuu habari za saa hizi. Nafikiri ni mzima nilikuwa naomba kujuwa au kuelekezwa maduka ambayo wanauza vifaa vya simu kwa bei ya jumla au kama mtu anahusika na mswala hayo anijuze nataka vifaa kama:- chaja za kawaida , fast chaja, Kobe, protector, makava ya simu, bluethoot, USB cable, betri, housing na n.k
Nb: naitaji kwa bei za jumla na sio rejareja natanguliza shukurani .

Wanakuja kukupa mwongozo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…