Earphone, USB na cherger nenda K.koo mtaa wa Aggrey /Likoma StreetWAPI NITAPATA CHIMBO LA VITU HIVI VIFUATAVYO
-Earphone za bei chee
-Charger
-usb za urefu mpk mita tano imara za bei chee
Vinote book na daftar pen kwa bei jumlaa
Kalamu kwa bei jumlaa
Nitashukuru sana
kati ya ilala,karume na tandika wapi nguo hzo wanauza bei rahsiHao wa mwenge wanachukua ilala wanakuja kuuza mwenge.
Ilala iko sehemu gani?Ilala
God bless u
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Nimekutafuta inbox msg haiendisawa vingine ukitaka unasema tu nakuelekeza! ninavyovijua pia nitakua nakuongezea machimbo mapya maana supplier wengine wanafilisikaga hahaaahaa
Mi ninachokifanya naenda nai nafunga Mzigo wangu nikifika dukani nauza jumla na reja reja bei sawa na dar nahakikisha kila pc1 inatoa efu 4 na nasafari kila wiki kwa sehemu niliyopo nategemewa na wenye maduka na wanaouza kwa kutembeza muhimu fanya utafiti wa eneo ulilopo na kujua aina ya nguo zenye mzunguko mkubwa maana biashara si kupamba duka bali bidhaa zitoke.
K/koo siku izi wanamix copy na og na wanakuuzia bei moja.. @honort hope nimekupa idea