Hahaa bora umeshtukaa..
kuna watu wanauziwa haya mdude
mazuri kwa sura k.koo kwa 100k wakidhani ni pure/full grain leather,,
hahaaa hio ni synthetic Leather..
Ni 1/5 ya pure leather..
Kiatu km hicho cha full grain leather huna angalau 300k hubebiii,
Na km kimefanyiwa taning nzuri unavaa miaka kumi na zaidi...
Wabongo wachache sana wanavaa viatu vya ngozi OG VIPYA,
Mtumba sawaa...
Nenda karume...
japo bei yao imechangamkaaa..
wanakuanzia 120k ila 50k ubabebaa...
Tatzo nao sikuhzi wanachanganya na haya ya k.koo niliyokuonesha hapo juu..
Mtu ananunua k.koo akizani ni ngozi baada ya mwezi tuu dude hovyoo anaenda kuuza karume kama mtumba.
Na ukitaka kujua kiatu sio ngozi ulipigwa, kinatanuka haraka sanaaa...
yaani umenunua kinakubana/fit baada ya mda unavaa na soksi mbili au kapet mbili..
Sent using
Jamii Forums mobile app