Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyema Ungetaja sehemu uliyopo kwanza ili upewe location ya chimbo kutokana na eneo lako
Ina wezekana huko mwanza Na watu tukakupa chimbo la viatu songea Vp utakuja?
Nenda mtaa wa mchikichi vyote vina patikana kvyoHabarini jamani?? Nauliza kwa kariakoo wapi nitapata chimbo LA toys za kuchezea watoto na vitu mbalimbali kama SAA, baiskeli, vigari vya watoto n.k
Habari Wakuu, Nitashukuru nikifahamu chimbo wanao deal na bidhaa bora ndogo ndogo za HARDWARE kwa jumla na kwa bei nafuu. Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo Sweta bei gan jumla
Hiyo bei ya jumla au rejareja?Tshirt Elfu 13
Form 6 Tshirt 14
Mashati Elfu 14
Sweta Elfu 15
Vipensi Elfu 13
Kofia 7500
Sent using Jamii Forums mobile app