mr josemaro
Member
- Aug 14, 2019
- 34
- 8
Yaani unamaanisha hizo picha ndio za pamba Kali unazo maanisha..!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unamaanisha hizo picha ndio za pamba Kali unazo maanisha..!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£ π€£ em mfafanulie asije akauliza 'shimo lipi'
Ohhh....
...dadadekiNaona kuna wanaotaka uuze mabwanga sijui nani atanunua[emoji23]
Yaani heading imenikimbiza kusoma halafu umeweka mapicha ya kijinga jinga!
Au hujui nguo za mtumba ni za aina gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hapa kila mtu tajiri
Jamaa anajua kundi la walaji analolilenga ndomana akasema kariakoo sio posta wala Woolworths
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ebu ngoja wale vijana wanao nyoa viduku wakuje ndio wamuonyeshe njia
Ni kali hizo jeans au ndo Zile za mchina jeans kama ngozi ya nyokaUkishuka ulizia viwandani kuna viwanda vingi vya nguo mzee watakuonesha vpo road kbsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngozi ya nyoka?Ni kali hizo jeans au ndo Zile za mchina jeans kama ngozi ya nyoka