Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Karibia maduka yote kariakoo wanauza jumla inategemea na idadi unayochukua..na ukishazoeana nao hata pis moja utapewa kwa jumla na pia kuna sehemu wananunua mzigo kwa sale hayo machimbo ya sale mara nyingi wamachinga ndio wanayajua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kuna wanaotaka uuze mabwanga sijui nani atanunua[emoji23]
...dadadeki
tapatalk_jpeg_1568211858235.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Una maanisha Uzi huuu? au kuna mwingine Christina?
 
Back
Top Bottom