Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

View attachment 1369640
Wadau nilikuwa na shida na hizi big g sijui nitazipata wapi kwa bei ya jumlaView attachment 1369640
huyu wa big g nitamwelekeza
fika maeneo ya stand ya mwendo kasi gereza
ulizia msikiti wa lindi
nende mdikiti wa lindi ukitokea kwenye barabara ya mwendo kasi
ukikunja tu kutoka hapo mwendo kasi kuelekea huo msikiyi
utayapita majengo mawili ya mwanz
utaanza kuyaona maduka ya bidhaa hizo
kanla hujafiks huo msikiti
kulia na kushoto
japo lipo chimbo lingine lkn hapo utapa
kwani hilo chimbo lingine lipo ndani ndani
sins uwezo wa kukuekeleza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu si utuelekeze tu

Sent using Jamii Forums mobile app
mazingira ya maduka ya jumla kariakoo
kusema nikuelekeze nitakudanganya
kwaki baadhi maduka mazngira yalipo ni ngumu kukurlekeza
halafu maduka hayapo sehemu tu
yapo smbayo yapo kwa mengi kwa pamoja
lkn hali hiyo ipo zaidi ya moja
lkn yapo pia yaliyokaa machache machache
lkn pia yapo yaliyokaa moja moja
mara nyingine unaweza kukuta bidhaa fulani huku ipo kule hamna
au kule bei ipo juu kuliko huku
au huku wanauza kwa dazeni tu
na sehemu nyingine wanauza mpaka nusa nazeni
sasa kibiashara ni bora sehemu zote uzijue
maana wakati mwingine unaweza kua na
pesa kidogo ukaamua bora uende kununua msduks wanayo uza maka nusu dazeni
kwa utapata dizaini nyingi kwa pesa kidogo
lkn mara nyingi huku wanakouza mpaka nusu dazeni
bei unaweza kukuta ipo jiuu kidogo
kama elfu moja hv kwa dazeni
halafu kingine mimi muri sana kuellekeza mtu sehemu
napata tabu sana
ndiyo hivyo bwana mtanisamehe sana.
kwa hilo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI nakuelewa sana mkuu la kutusaidia Ungesema gharama zako ili mtu akiamua kukutafuta awe amejiandaa

najua kazi uliyoipata wkt unayatafuta hayo machimbo kkoo inachanganya sana na unaweza ukaoneshwa Leo Kesho ukapotea
 

Mkuu ndo hapo hapo pia napajua ilo chimbo la ndani ndani nielekeze


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar wakuu, Wapi nitapata chimbo wanalodeal kwa jumla bidhaa za interior design kama flower vase, mito, foronya na throw blanket
 
Angesema gharama zake tujue tunajipangaje kumfuata


Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua kufanya bure baada ya kuona
asilimia kubwa ni wadandaji wenzangu
moyo umenisuta kuchukua pesa zao
hasa nilipo pitia uzi wako
unaose siku 90 baada ya kuanza biashara
nimeona changamoto unazopitia
ila mawasiliano ni muhimu
usinishitukize

ila kwa wale watakao taka kunituma
ambao wapo mikoani
wakishajenga uaminifu na mimi
mfano kufika ofisini kwangu au nyumbani napoishi
au akihitaji niwe na ndhamini anaeishi kwake
nipo teari kufanya nae kazi
ananiagizia bidhaa anazo hitaji
namnunulia na kwenda kumsafirishia
hiyo gharama itausika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta duka wanalouza gps tracker zinazotumia sim card kwa dar kwaajili ya pikipiki na magari
 
Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…