Fanya kuagiza AliExpress inalipa
Hiyo gharama ya elfu 10 wala si kubwa kwa mtu kweli mwenye nia ya dhati, k.koo kunachosha, pia muda wako, huuzingatii mpaka ukawatembeze watu bure, hapana lazima wakulipe pesa acha huruma isiyo na tija.Nimeamua kufanya bure baada ya kuona
asilimia kubwa ni wadandaji wenzangu
moyo umenisuta kuchukua pesa zao
hasa nilipo pitia uzi wako
unaose siku 90 baada ya kuanza biashara
nimeona changamoto unazopitia
ila mawasiliano ni muhimu
usinishitukize
ila kwa wale watakao taka kunituma
ambao wapo mikoani
wakishajenga uaminifu na mimi
mfano kufika ofisini kwangu au nyumbani napoishi
au akihitaji niwe na ndhamini anaeishi kwake
nipo teari kufanya nae kazi
ananiagizia bidhaa anazo hitaji
namnunulia na kwenda kumsafirishia
hiyo gharama itausika
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu anaehitaji kufanya
mawasiliano na mm kwa sasa ni bora akanipigia moja kwa moja
kwani ukikomenti hapa mm sipati ujumbe wowote
mpaka nifungue hii page
ndio naona comenr
na kuhusu pm hiyo sielewi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikua unawapataje mkuu connection itasaidia wengiHiyo gharama ya elfu 10 wala si kubwa kwa mtu kweli mwenye nia ya dhati, k.koo kunachosha, pia muda wako, huuzingatii mpaka ukawatembeze watu bure, hapana lazima wakulipe pesa acha huruma isiyo na tija.
Nilipokua kinda nilikua nawatembeza Wakenya, Wacomoro, Wacongo, Wazambia na Wamalawi, kwenye maduka na kuwasaidia kutafsiri lugha kwa waliokua hawajui kiswahili, kwa siku nilikua napewa elfu 32, chakula+Maji juu yao.
Ulichukua point tatu zote mzaziMi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi, siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona. Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hata bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Mkuu Kokudo naomba namba yako inbox plsSijaenda tena nasubiri huu upepo wa Jan to March upite kwanza
Ngoja nikae vizuri ntakutafuta ukanitembeze maduka ya cheni ,hereni ya jumla na ya bei rahisi.asante kwa kujitolea
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi hata salam unailipia
Habarini wadau.
Nahitaji kununua accessories za wanawake kama vile hereni, bangili, mikufu, saa na kadhalika ila kwa bei ya jumla. Nimeambiwa Kariakoo kuna Wachina wanauza hizo.
Naomba mwenye kujua anielekeze tafadhali. Natanguliza shukrani.
Sweetdada
Huyo mchina bado yupo kiongozi? Na maelekezo ya ziada hapa kama hutojali, mfano kutengeneza backpack inaweza gharimu kiasi gani.Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh, pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau?