Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

mtu anaehitaji kufanya
mawasiliano na mm kwa sasa ni bora akanipigia moja kwa moja
kwani ukikomenti hapa mm sipati ujumbe wowote
mpaka nifungue hii page
ndio naona comenr
na kuhusu pm hiyo sielewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye kujua hizo bidhaa zinapatikana wapi kariakoo
.au kama wewe ni muuzaji.unauza kwa bei nzuri nami ni muuzaji wa jumla naomba mawasiliano yako.
au hata mnlielekeze maduka yaliopo kariakoo ni mtaa gani ntapata,
Screenshot_20200316-132344.jpeg
Screenshot_20200316-132515.jpeg
Screenshot_20200316-132502.jpeg
Screenshot_20200316-132330.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamua kufanya bure baada ya kuona
asilimia kubwa ni wadandaji wenzangu
moyo umenisuta kuchukua pesa zao
hasa nilipo pitia uzi wako
unaose siku 90 baada ya kuanza biashara
nimeona changamoto unazopitia
ila mawasiliano ni muhimu
usinishitukize

ila kwa wale watakao taka kunituma
ambao wapo mikoani
wakishajenga uaminifu na mimi
mfano kufika ofisini kwangu au nyumbani napoishi
au akihitaji niwe na ndhamini anaeishi kwake
nipo teari kufanya nae kazi
ananiagizia bidhaa anazo hitaji
namnunulia na kwenda kumsafirishia
hiyo gharama itausika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo gharama ya elfu 10 wala si kubwa kwa mtu kweli mwenye nia ya dhati, k.koo kunachosha, pia muda wako, huuzingatii mpaka ukawatembeze watu bure, hapana lazima wakulipe pesa acha huruma isiyo na tija.

Nilipokua kinda nilikua nawatembeza Wakenya, Wacomoro, Wacongo, Wazambia na Wamalawi, kwenye maduka na kuwasaidia kutafsiri lugha kwa waliokua hawajui kiswahili, kwa siku nilikua napewa elfu 32, chakula+Maji juu yao.
 
Ngoja nikae vizuri ntakutafuta ukanitembeze maduka ya cheni ,hereni ya jumla na ya bei rahisi.asante kwa kujitolea
mtu anaehitaji kufanya
mawasiliano na mm kwa sasa ni bora akanipigia moja kwa moja
kwani ukikomenti hapa mm sipati ujumbe wowote
mpaka nifungue hii page
ndio naona comenr
na kuhusu pm hiyo sielewi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mwenye kujua chimbo la vifaa vya electronics anijuze mana nataka kufungua chimbo la vitu kama sub ufa,flat screen,na vizaga kama vyote vya electonics,naomba mwenye kujua zaid machimbo na naweza anza na mtaji kiasi gan?natanguliza shukuran zenu nyote
 
Hiyo gharama ya elfu 10 wala si kubwa kwa mtu kweli mwenye nia ya dhati, k.koo kunachosha, pia muda wako, huuzingatii mpaka ukawatembeze watu bure, hapana lazima wakulipe pesa acha huruma isiyo na tija.

Nilipokua kinda nilikua nawatembeza Wakenya, Wacomoro, Wacongo, Wazambia na Wamalawi, kwenye maduka na kuwasaidia kutafsiri lugha kwa waliokua hawajui kiswahili, kwa siku nilikua napewa elfu 32, chakula+Maji juu yao.
Ulikua unawapataje mkuu connection itasaidia wengi
 
ni kweli hasa ukizingatia
unaacha shughuli zako za kutafuta ugali
uende kuzunguka kariakoo
bila kupata chochote
au kwa malipo kidogo
inakua ngumu japo nia ya kusaidia ninayo
lkn kutokana na hali ya kutaharuki na maisha ndiyo nashindwa utekelezaji wake
lkn hata hivyo nashukuru baadhi ya watu wa mikoani nimeanza kuwasiliana nao
kwa sjili ya kufanya nso kazi
na mmoja wa tabora nimeanza kufanya nae kazi
kwa hiyo watu watu wa moikoani
nawakaribisha nifanye nao kaxi
kufahamu zaid tembelea page yangu ya instagram yenye jina la
thumuni1
post mbili za mwisho nimetoa maelezo baadhi ya bidhaa ambazo nafahamu machimbo yake
na nitaendelea kufafanua zaidi
jinsi ya utendaji wa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kuna machinga nilikuwa nachukua mzigo kwake,hivyo nampa pesa ye anazunguka kwenda kuchukua mzigo.Ukimuuliza asemi, siku nilienda na vijana wangu watatu ambapo yeye hakuwaona. Hivyo nilivyomkabidhi pesa akaondoka, vijana wangu wakamfuatilia mpaka wakajua maduka yote aliyoingia. Tangia siku hiyo hajaniona na majamaa wa madukani washanizoea hata bila pesa wananipa mzigo au wanatuma mkoani.
Ulichukua point tatu zote mzazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm kuelekeza sijui ila kukupeleka naweza
Habarini wadau.

Nahitaji kununua accessories za wanawake kama vile hereni, bangili, mikufu, saa na kadhalika ila kwa bei ya jumla. Nimeambiwa Kariakoo kuna Wachina wanauza hizo.

Naomba mwenye kujua anielekeze tafadhali. Natanguliza shukrani.

Sweetdada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya kwa wale wa mabegi ya kusafiria kuna mchina anazalisha mwenyewe maeneo ya Veta karibu na sofia house kule anakutengeneezea design unayotaka eh, pesa yako tu. Kuna kingine nimesahau?
Huyo mchina bado yupo kiongozi? Na maelekezo ya ziada hapa kama hutojali, mfano kutengeneza backpack inaweza gharimu kiasi gani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv kariakoo
Ni wapi naweza kupata mitumba mikali kadet ,jeans na mashati grade 1?
 
Naomba kujua chimbo la form six t.shirts hizi plain za wanafunzi.
 
Back
Top Bottom