Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

kesho jeans za kike zinamwaga..twenden tukapambane..
 
Naomba chimbo la t.shirts za form6 plain.
 
ili biashara iwe na muonekano mzuri
usikose kua na angalau mil 5
baada ya kutoa kodi
lkn pia nikushauri usikose kuweka na
meza za kichina dresing table pia usikose kuweka mafeni
biashara ambayo inaendana na vitu hivyo na inafaida mzuri
na vinauzika kuliko sabufa na tv
kwa hy nizuri ukachanganya
sehemu zinakopatikana sabufa, tv
ukitokea mataa ya uhuru kama unaelekea clab ya simba
utapita mtaa wa kwanza kulia kwako unaitwa agrey
mtaa wa pili ingia kulia kwako
ukienda kidogo kushoto kwako utaona mtaa hauna lami
ingia mtaa huo
utaona bidhaa unazohitaji
sabufa, tv deki na mazaga mengine kama maduka ya vifaa vya umeme
yapo kama matatu hv
lkn jitahidi kuzunguka vichochoro vyote
maana bei huwa zinatofautiana
na usikose kuwaambia kua unahitaji kwa jumla
na maduka ya vifaa vya umeme
utaingia mtaa huo huo wa kwanza wa agrey baada ya kutoka mataa ya uhuru
nenda moja kwa moja mpaka msikiti wa qibratain msikiti huu ni maarufu
unaweza ukaulizia
ukifika hapo angalia kulia kwako utaona maduka hayo utaingia na uchoroni
na ukirudi nyuma kidogo tu itakua kuliani kwako ikiwa unarudi ulikotoka
utaona kichochoro hapa mwanzo wanauza mapanzia ukiingia ndani kidogo utayaona maduka mengi ya vifaa vya umeme
ukiendelea na hicho kichocho utatoke kwenye lami ifuate lami kwa kwenda kulia ukienda kidogo utaona mtaa kushoto kwako hauna lami ingia huo nako utaona maduka mengi tu




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salaam

Tupeane maujanja kuhusu machumbi ys Nguo yalipo

Nielekezeni wapi naweza kupata machimbo ya Tshirts form six na round callar Tshirts na Mashati makati kwa bei za 10000-20000

Nq machimbo mengine ya nguo

Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Much thanks sn kaka yan n nashukuru sn ndugu nadhan umesaidia wengi sn kwa uzi wako na sio mm tuu,ubarikiwe sn
 
wakuu bei za bidhaa kwa sasa hali ikoje baada ya hili janga la covid 19 na vipi kuhusu bidhaa mpya zinaingia kweli?
 
Viatu vya mtumba vikali au nguo za mtumba kali za KULENGA zinapatikana wapi?
 
Natamani Sana kuifanya hii ila sipendi kuuza low quality

Ni vizuri wengi tunauza best quality kwa ajili ya kipato chetu ambayo mtu atavaa na kuridhia...hatuwezi uza ile original maana price tag yake demand iko chini
 
sasa hivi natumia utambulisho huu
wa zamani ( thumunii)
badala ya ile ya sumni.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntakutafuta mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…