Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nenda jengo jirani na jengo la simba kwandani ya jengo kuna maduka ya saa hizo kibao...saa zinazouzwa mtaani5000 moja mule ukienda ukichukua nyingi ni2500
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
ili biashara iwe na muonekano mzuriWakuu mwenye kujua chimbo la vifaa vya electronics anijuze mana nataka kufungua chimbo la vitu kama sub ufa,flat screen,na vizaga kama vyote vya electonics,naomba mwenye kujua zaid machimbo na naweza anza na mtaji kiasi gan?natanguliza shukuran zenu nyote
Much thanks sn kaka yan n nashukuru sn ndugu nadhan umesaidia wengi sn kwa uzi wako na sio mm tuu,ubarikiwe snili biashara iwe na muonekano mzuri
usikose kua na angalau mil 5
baada ya kutoa kodi
lkn pia nikushauri usikose kuweka na
meza za kichina dresing table pia usikose kuweka mafeni
biashara ambayo inaendana na vitu hivyo na inafaida mzuri
na vinauzika kuliko sabufa na tv
kwa hy nizuri ukachanganya
sehemu zinakopatikana sabufa, tv
ukitokea mataa ya uhuru kama unaelekea clab ya simba
utapita mtaa wa kwanza kulia kwako unaitwa agrey
mtaa wa pili ingia kulia kwako
ukienda kidogo kushoto kwako utaona mtaa hauna lami
ingia mtaa huo
utaona bidhaa unazohitaji
sabufa, tv deki na mazaga mengine kama maduka ya vifaa vya umeme
yapo kama matatu hv
lkn jitahidi kuzunguka vichochoro vyote
maana bei huwa zinatofautiana
na usikose kuwaambia kua unahitaji kwa jumla
na maduka ya vifaa vya umeme
utaingia mtaa huo huo wa kwanza wa agrey baada ya kutoka mataa ya uhuru
nenda moja kwa moja mpaka msikiti wa qibratain msikiti huu ni maarufu
unaweza ukaulizia
ukifika hapo angalia kulia kwako utaona maduka hayo utaingia na uchoroni
na ukirudi nyuma kidogo tu itakua kuliani kwako ikiwa unarudi ulikotoka
utaona kichochoro hapa mwanzo wanauza mapanzia ukiingia ndani kidogo utayaona maduka mengi ya vifaa vya umeme
ukiendelea na hicho kichocho utatoke kwenye lami ifuate lami kwa kwenda kulia ukienda kidogo utaona mtaa kushoto kwako hauna lami ingia huo nako utaona maduka mengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu natafta jez currently za msimu huuUkiitaji jezi ni tag [emoji958]
Natamani Sana kuifanya hii ila sipendi kuuza low qualityUkiitaji jezi ni tag [emoji958]
Natamani Sana kuifanya hii ila sipendi kuuza low quality
kesho jeans za kike zinamwaga..twenden tukapambane..
Kariakoo
Viatu vya mtumba vikali au nguo za mtumba kali za KULENGA zinapatikana wapi?
ili biashara iwe na muonekano mzuri
usikose kua na angalau mil 5
baada ya kutoa kodi
lkn pia nikushauri usikose kuweka na
meza za kichina dresing table pia usikose kuweka mafeni
biashara ambayo inaendana na vitu hivyo na inafaida mzuri
na vinauzika kuliko sabufa na tv
kwa hy nizuri ukachanganya
sehemu zinakopatikana sabufa, tv
ukitokea mataa ya uhuru kama unaelekea clab ya simba
utapita mtaa wa kwanza kulia kwako unaitwa agrey
mtaa wa pili ingia kulia kwako
ukienda kidogo kushoto kwako utaona mtaa hauna lami
ingia mtaa huo
utaona bidhaa unazohitaji
sabufa, tv deki na mazaga mengine kama maduka ya vifaa vya umeme
yapo kama matatu hv
lkn jitahidi kuzunguka vichochoro vyote
maana bei huwa zinatofautiana
na usikose kuwaambia kua unahitaji kwa jumla
na maduka ya vifaa vya umeme
utaingia mtaa huo huo wa kwanza wa agrey baada ya kutoka mataa ya uhuru
nenda moja kwa moja mpaka msikiti wa qibratain msikiti huu ni maarufu
unaweza ukaulizia
ukifika hapo angalia kulia kwako utaona maduka hayo utaingia na uchoroni
na ukirudi nyuma kidogo tu itakua kuliani kwako ikiwa unarudi ulikotoka
utaona kichochoro hapa mwanzo wanauza mapanzia ukiingia ndani kidogo utayaona maduka mengi ya vifaa vya umeme
ukiendelea na hicho kichocho utatoke kwenye lami ifuate lami kwa kwenda kulia ukienda kidogo utaona mtaa kushoto kwako hauna lami ingia huo nako utaona maduka mengi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
machimbo ya chupi yapo mengi
lipo moja kubwa maduka mengi kwa pamoja kama 50 au zaidi
linalofuatia yapo kama maduka 20 hv pamoja
halafu yapo yaliyo kaa moja moja tafauti tofauti
ki ukweli bidhaa za kariakoo nitafuteni tu mimi mutafurahi wenyewe
nitakupeka chimbo moja baada ya moja
ukizoea utaenda mwenyewe
0788 41 76 74
Sent using Jamii Forums mobile app