Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa


Mkuu heshima kwako aisee huyu mchina wa Veta huna mawasiliano yake mamiiii...?

Na anauza kwa piece hata 1 au mpaka uchukue kwa jumla...?

Thanks a lot my.
 
Naomba kujua wapi naweza pata simu aina ya Tecno pouvoir 4,na Bei yake hapo kariakoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…