Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Ndugu zangu habari.

Kwa mlio Dar, naomba mnielekeze chimbo naweza pata viatu yeboyebo kuanzia bei ya chini kabisa hadi viatu vya wadada kwa jumla.

Kama upo humu nitafute tufanye biashara.

(Itz serious)
 
Ndugu zangu habari.

Kwa mlio Dar, naomba mnielekeze chimbo naweza pata viatu yeboyebo kuanzia bei ya chini kabisa hadi viatu vya wadada kwa jumla.

Kama upo humu nitafute tufanye biashara.

(Itz serious)
Machimbo ya bidhaa hizo zipo sehemu tatu
Siku nikienda nitakujulisha nikupitishe mara moja
 
Nauliza zinapopatikana blow daryer za mkono, pasi za nywele na vikorokoro vyote vya hair care kwa Kariakoo.
 
IMG_2723.jpg

Natafuta hii kitu, inaitwa vacuum sealing machine, naipata wapi?!...bei yake?!
 
Wakuu habari

Anaejua machimbo ya vifaa vya simu kama protector cover na earphone pamoja na chaji mitaa ya Kariakoo naomba tujuzane.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu habari

Anaejua machimbo ya vifaa vya simu kama protector cover na earphone pamoja na chaj mitaa ya kariakoo naomba tujuzane.

Natanguliza shukran
Ukitokea mataa ya uhuru na Msimbazi
Kama unaelekea club Simba
Mtaa wa kwanza ingia kushoto
Unaitwa mtaa wa agrey
Hapo maduka ya jumla yapo mengi sana
Ni vzr ukazunguka kwanza kabla ya kuanza manunuz ingia mpaka vichochoro
Bei huwa zinatofautina
 
Natafuta chimbo la jeans za kiume na bei zake zikoje, ambazo wengi huziuza kwa bei ya elfu25 kwa kila moja.
Screenshot_20200828-132621.jpg
 
Back
Top Bottom