Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei ya jumla ni 12,000nahitaji Vijora vya mtandio kwa bei rahisi nipo dar.... napenda bahama au hata vya kawaida... ila kwa bei jumla.
Machimbo ya bidhaa hizo zipo sehemu tatuNdugu zangu habari.
Kwa mlio Dar, naomba mnielekeze chimbo naweza pata viatu yeboyebo kuanzia bei ya chini kabisa hadi viatu vya wadada kwa jumla.
Kama upo humu nitafute tufanye biashara.
(Itz serious)
Siku nikielekea mitaa ya Kariakoo nitakujulishanahitaji Vijora vya mtandio kwa bei rahisi nipo dar.... napenda bahama au hata vya kawaida... ila kwa bei jumla.
Shukran utanijuza ndugusiku nikielekea mitaa ya kariakoo nitakujulisha
nikupitishe
Hata majina ya barabara pale townmitaa hiyo ipo mwanza hivyo hivyo
Nashukuru sana kwa utayari wako mkuu.machimbo ya bidhaa hizo zipo sehemu tatu
siku nikienda nitakujulisha nikupitishe mara moja
Ulizia msikiti wa Kiblateni, zunguka maduka yote mitaa hiyo utapata.Nauliza zinapopatikana blow daryer za mkono.,pasi za nwele,na vikorokoro vyote vya hair care
.kwa kariakooo.
Asantee sana, ubarikiweUlizia msikiti wa kibraten, zunguka maduka yote mitaa hiyo utapata.
Ukitokea mataa ya uhuru na MsimbaziWakuu habari
Anaejua machimbo ya vifaa vya simu kama protector cover na earphone pamoja na chaj mitaa ya kariakoo naomba tujuzane.
Natanguliza shukran
Sachques anauza elfu 5 Bei ya rejareja sijajua sasa jumla itakuaje anapatikana Kijitonyama karibu na kituo Cha polisi MabatiniNaomba kujua chimbo la bei ya jumla kwa t_shirt zile zinazouzwa elfu Saba kariakoo
Zile ji mtumba anazo uza huyo ddSachques anauza elf 5 Bei ya rejareja cjajua ssa jumla itakuaje anapatikana kijitonyama karibu na kituo Cha polisi mabatin
Zile ji mtumba anazo uza huyo dd
Natafuta chimbo la jeans za kiume na bei zake zikoje, ambazo wengi huziuza kwa bei ya elfu25 kwa kila moja.View attachment 1557578
Zina maandishi au chatta??Sio mtumba sema pia zna maandish