Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Agiza chochote kutoka India
IMG-20200921-WA0022.jpg
IMG-20200922-WA0024.jpg
lilianmaroo_accessories-___CFsOf7pnMzN___-.jpg
lilianmaroo_accessories-___CFrUyFUH2NJ___-.jpg
lilianmaroo_accessories-___CFrWWuNnt4A___-.jpg
IMG-20200922-WA0173.jpg
IMG-20200922-WA0137.jpg
IMG-20200922-WA0144.jpg
IMG-20200922-WA0216.jpg
IMG-20200926-WA0007.jpg
IMG-20200922-WA0141.jpg
IMG-20200922-WA0204.jpg
IMG-20200922-WA0207.jpg
IMG-20200922-WA0140.jpg
irenendauka_5-___CFXurzIhpPb___-.jpg
irenendauka_3-___CFb5GwNBkJ1___-.jpg
irenendauka_2-___CFb5GwNBkJ1___-.jpg
irenendauka_1-___CFb5GwNBkJ1___-.jpg
irenendauka_6-___CFb5GwNBkJ1___-.jpg

Mawasiliano+91 97179 98645
 
Habari, kama kichwa kinavyojieleza..ni chimbo gani la kupata ndoo za plastic za kuoteshea maua kwa bei nafuu. Ukiweka na mawasiliano ya muuzaji ingekuwa vizuri zaidi
 

Attachments

  • IMG_20200914_182401_3.jpg
    IMG_20200914_182401_3.jpg
    254.5 KB · Views: 21
Habari, kama kichwa kinavyojieleza..ni chimbo gani la kupata ndoo za plastic za kuoteshea maua kwa bei nafuu. Ukiweka na mawasiliano ya muuzaji ingekuwa vizuri zaidi
Kuna agent wa Cello mtaaa wa vyombo Kariakoo. Jamaa yupo Ghorofani. Anauza sana.. Sema huwa anachelewa kufungua . Huwa anafungua kuanzia saa 6
 
Nenda cello au Jambo kanunue kiwandani kama unataka vingi, ukiitaji kupelekwa ndio kazi zetu mjini hapaa....
 
Naomba namba zao anielekeze jins ya kufikaa
Mkuu sina no zao.. wewe ukifika Kariakoo mitaa ya vyomba.. muulize mtu yeyote Agent wa Cello alieopo ghorofani. Jamaa ni maarufu sana.. ukienda wakati wanafungua watu kama nyuki
 
Mimi naomba kuelekezwa chimbo la vyombo vizuri hotpots sahani na sufuria nzito zile zenye mifuniko ya vioo
 
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Bro najaribu kuku Pm text haziji naomba unicheki 0714676898
 
Anaejua wanapouza motor za kusagia Unga kuanzia hp 25 tujuzane wakuu natanguliza shukran zangu
 
Back
Top Bottom