OkHabari wapendwa kama Kuna mtu atahitaji chochote kutoka India Kwa bei ya jumla tafadhar niagize heavy machine na vitu vidogo vidogo UREMBO nk mawasiliano yangu hayo +91 97179 98645
Msimbazi kwa nyuma jirani na msikitiHvi wadau hzi cardet hapo kariakoo mahali gani wanauza bei nzuri kuliko wte???View attachment 1581827
Kuna agent wa Cello mtaaa wa vyombo Kariakoo. Jamaa yupo Ghorofani. Anauza sana.. Sema huwa anachelewa kufungua . Huwa anafungua kuanzia saa 6Habari, kama kichwa kinavyojieleza..ni chimbo gani la kupata ndoo za plastic za kuoteshea maua kwa bei nafuu. Ukiweka na mawasiliano ya muuzaji ingekuwa vizuri zaidi
Naomba namba zao anielekeze jins ya kufikaaKuna agent wa Cello mtaaa wa vyombo Kariakoo. Jamaa yupo Ghorofani. Anauza sana.. Sema huwa anachelewa kufungua . Huwa anafungua kuanzia saa 6
Mkuu sina no zao.. wewe ukifika Kariakoo mitaa ya vyomba.. muulize mtu yeyote Agent wa Cello alieopo ghorofani. Jamaa ni maarufu sana.. ukienda wakati wanafungua watu kama nyukiNaomba namba zao anielekeze jins ya kufikaa
Ni mtaa wa Sikukuu na Mchikichi.Naomba namba zao anielekeze jins ya kufikaa
FollowingMimi naomba kuelekezwa chimbo la vyombo vizuri hotpots sahani na sufuria nzito zile zenye mifuniko ya vioo
Bro najaribu kuku Pm text haziji naomba unicheki 0714676898Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Vipi ulimpata?Nitakufata WhatsApp mkuu unielekeze ulipo nije kununua.
Ulipata ndugu yangu?Mwenye connection za maduka ya wachina yanayouza viatu vya kike. Nahitaji hizi MossimoView attachment 1562666
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Badoulipata ndugu yangu?
Mimi nipo Kariakooo tupeane madili, napenda nipate wateja wapya walioko mikoani tufanye kazi.Bro najaribu kuku Pm text haziji naomba unicheki 0714676898
Unahitaji mpya au used?Anaejua wanapouza motor za kusagia Unga kuanzia hp 25 tujuzane wakuu natanguliza shukran zangu
Viatu bei gani jumlaAgiza chochote kutoka IndiaView attachment 1597204View attachment 1597205View attachment 1597206View attachment 1597207View attachment 1597208View attachment 1597209View attachment 1597210View attachment 1597212View attachment 1597213View attachment 1597214View attachment 1597215View attachment 1597216View attachment 1597217View attachment 1597218View attachment 1597219View attachment 1597221View attachment 1597222View attachment 1597223View attachment 1597225
Mawasiliano+91 97179 98645