Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

0767 113323, makumbusho yupo. Bei ni kuanzia 35k
Shukran.. Ila naona hiyo ni bei kubwa.. kwasababu kuna ujazo tofauti kuanzia mills 10,15,20,25,adi30 etc.. nilikuwa nahitaji kwa bei ya jumla...kwa ujazo tofauti....
 
Yeye ujazo nadhani ni 50 na 100 mls only
Asante..kwa maana nilikuwa naitaji mzigo ata PC 12 kwa bei ya jumla..kwa ujazo mdogo kwa maana wateja ninaoenda kuwauzia nikwabei ya chini kidogo...Ila kwa huo ujazo wake ni mzuri ila ningepata chini ya hapo ingependeza...
 
Kuna wachina wapo pale Ubungo business park wanauza vitu hivyo. Ngoja nikutafutie na namba ya mtu ninaemfahamu nae anauza bidhaa hizo pia
 
Wanapouza boxer za kiume za mpira mfano wa tight au tight za kiume.

Tupeane chimbo wakuu.
 
Mkuu hayo machimbo unayajua? Nikutafute?
Mimi nipo kariakooo tupeane madili,napenda nipate wateja wapya walioko mikoani tufanye kazi
My wasap namba 0765929586
Kupiga 0622177413
Bei Ni cheeeeeee
 
Mimi ni electronics technician, wapi ntapata vifaa vya kutengenezea simu la laptop.
Vifaa Vya Kawaida (Basic) Vinapatikana Kariakoo Mtaa Aggrey Na Likoma.

Vifaa Vya Utaalamu Zaidi (Advanced) Lazima Uagize China Via aliexpress Au Alibaba.

Goodluck.
 
Vifaa Vya Kawaida (Basic) Vinapatikana Kariakoo Mtaa Aggrey Na Likoma.

Vifaa Vya Utaalamu Zaidi (Advanced) Lazima Uagize China Via aliexpress Au Alibaba.

Goodluck.
Shukrani mkuu. Unaweza ukawa unajua duka specific kabisa ambapo nitapata kununua kwa bei ya jumla vitu kama RAM, HDD, screens za laptop na simu, batteries, adapters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…