Uzi madini sana huu.
Jamani nami naombeni mawazo yenu wandugu...
Nimepata mkopo wa Tsh Milioni MOJA kamili. Ni mkopo usio na riba. Nimepewa MIEZI MITATU niwe nimerejesha yote.
Nipeni ushauri ndugu zangu. Nifanye biz gani ya kukimbiza chap chap? any ideas please. Kwa sasa nipo Dar, ila ni kijana ambaye nipo tayari kuingia kokote penye fursa ya biashara kwa mtaji huo. Nipeni mawazo wapendwa, maisha yamenichapa mno ndugu zangu, sasa naukataa umasikini kwa nguvu zote!
CC:
charty ,
Danhappy , na wachangiaji wengine wote. Natanguliza shukrani