Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Duuh kwny hii thread unaulizia saa quality za rado,swiss watches etc hapo hapo nimeona kuna uzi wa msela anauza saa za jumla jumla kwa sh.5,000 yani buku 5 unaulizia kama bado anazo.

Upo siriazi kweli mkuu,Saa org za rado vs saa za buku 5 wapi na wapi kamanda?
 
Naombeni kujua wapi naweza pata mobile phone accessories kwa bei ya jumla yani, chargers, usb cables, head phones, chaji za simu za gari, memory cards, flash disks na computer accessories kwa bei nzuri na viwe durable
Ulipata?
 
Hizi earphone za 2000... Ni zile baada ya mda zina katika.. Kuna za book jero, buku tatu, buku nne na kuendelea. Huwezi pata ofia kwa book mbili. Au nec au Samsung wewe upo wapi nicheki kwa namba hii 0754660061
Dar
 
Back
Top Bottom