Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

kuna vitenge vinaitwa java 3 (ukivaa vina mfumo wa nje ndani)

natafuta chimbo lake kwa bei nafuu kariakoo

kuna sehemu waliniambia doti 1 ni elfu 8 (piece 3 ndani)

Wapi ntapata bei chini zaidi?
 
Yeyote anaefahamu machimbo ya sim Kali Kwa gharama nafuu kariakoo anisaidie
 
Anayejua chimbo la vifungashio naomba anijuze,,mifuko,magaloni na bahasha za kaki ,,
 
kuna vitenge vinaitwa java 3 (ukivaa vina mfumo wa nje ndani)

natafuta chimbo lake kwa bei nafuu kariakoo

kuna sehemu waliniambia doti 1 ni elfu 8 (piece 3 ndani)

Wapi ntapata bei chini zaidi?
Umepita Mnazi?
 
Back
Top Bottom