The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Msaada wa dharura tafadhali natafuta chimbo au mtu anayejua mahali naweza pata spea za pikipiki aina zote kwa bei ya wholesale tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu crocks pia ulipata??Msimbazi ipi tafadhali tukajaribu na sisi
Wapi mkuu?Sikupata kwenye huu uzi lkn kuna group moja ndo nilipatia huko
Habari mkuu ulipata ??Nahitaji connection ya mikoba kutoka Kwa wachina karikoo Kwa wachina kabisa nhitaji Belo zima
Naona uzi umepoa huuNatafuta shati za draft zenye quality nzuri..
Hata kama sio kariako ni sawa..nazihitaji mno mana nimezisaka ila napata zenye quality mbovu.View attachment 2773975View attachment 2773976View attachment 2773978View attachment 2773979
Watu wamelala mkuu mimi naona kama upo dar ungezama mwenyewe mitaa ya Aggrey na msimbazi kuna mashati kibao ya jumla bei ni 10k itakuwa starting point nzuri.Naona uzi umepoa huu
Natamani kuanza hii biashara ya viatu vya mtumba... naombeni muongozo wadau.. maeneo gani nitapata na bei yake ikoje????Mnaz mmoja
Sio mitumba, mitumba mingi inatoka Nchi za ulaya ulaya, Dubai na kwengineko.Hakuna chimbo zuri kama alibaba...utatengeneza faida mara 2 na kuendelea kwa bidhaa unazonunua Kariakoo...ukiona unanunua bidhaa kariakoo elfu 5 ujue china ni 1,500 kusafirisha na kodi etc elfu 1 jumla 2,500..kwahiyo hapo umeokoa 2,500 ambayo ulitakiwa uitoe kariakoo.
Sina uhakika Exactly ila mitumba mingi nguo nguo inakua baina ya Lumumba na Livingstone, mfano Narung'ombe na Livingstone mpaka Narung'ombe na Lumumba Kuna maduka mengi yanauza mabelo, na mtaa unafuata mahiwa,Wakuu naombeni machimbo ya belo za nguo za watoto na yebo za mtumba zenye muundo wa sendo
Mkuu sasa china si mpaka uwe na mtaji mkubwa ?Hakuna chimbo zuri kama alibaba...utatengeneza faida mara 2 na kuendelea kwa bidhaa unazonunua Kariakoo...ukiona unanunua bidhaa kariakoo elfu 5 ujue china ni 1,500 kusafirisha na kodi etc elfu 1 jumla 2,500..kwahiyo hapo umeokoa 2,500 ambayo ulitakiwa uitoe kariakoo.
Namaanisha kununua kwenye mtandao wa Alibaba na SIO KWENDA CHINA physically.. Alibaba haiitaji mkubwa unaweza kupata supplier akakufungia mzigo hata wa laki moja au hata chini ya hapo inategemeana na bidhaa.Cha msingi ujifunze namna ya kuutumia Kwa kusearch bidhaa, kuwasiliana na supplier, kulipia na kusafirisha..Mkuu sasa china si mpaka uwe na mtaji mkubwa ?