Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mkuu tendo lolote linalofanyika chini ya jua liwe la hadharani ama mafichoni huwa lazima lijulikane tu....Hivi wanakamatwaje ? Kama Mtu umeuficha sawasawa mzigo wako na kuchukua tahadhari Zote, unakamatwaje? Mtu anakuwa amekuchomea ? Ama Askari Wetu wamekuwa Mahodari kiasi Hicho ?
Money talk,,ni kwl mkuu.Watatoka tu kama alivyotoka mtoto wa Liyumba.
Andika kidogo mkuu, ikikupendeza lakini.....mana wanasema mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya wenzie...tujifunze kidogoKama ndy yule Remy ninayemjuwa Mimi basi kweli karma is really.
It's a long story..
Share your experience ndugu, may help others to learn or even to enjoy somehow dont you think!Nilitaka kuongea mengi kuhusu izo biashara ila ngoja tu niachie..
Alishawahi kumweka jamaa mmoja bond huko Pakistan,Andika kidogo mkuu, ikikupendeza lakini.....mana wanasema mwerevu hujifunza kutokana na makosa ya wenzie...tujifunze kidogo
Wanachomana!!...Hivi wanakamatwaje ? Kama Mtu umeuficha sawasawa mzigo wako na kuchukua tahadhari Zote, unakamatwaje? Mtu anakuwa amekuchomea ? Ama Askari Wetu wamekuwa Mahodari kiasi Hicho ?
Si wanapewa na mapaka58kg sio mchezo, lazima ni bosi kwny hyo tasnia. Inaonekana ni mkongwe kabisa....ila hawa jamaa huwa wanaanzaje mbka mzgo wte huo aloo!!!
Sio poa mzee hapo ni parefu mnoo aloo, watu wana mawee nyieeeSi wanapewa na mapaka
Wanakuchomea, askari wa TZ bado sana kwenye hizi mambo kichwa kichwa....Hivi wanakamatwaje ? Kama Mtu umeuficha sawasawa mzigo wako na kucukua tahadhari Zote, unakamatwaje? Mtu anakuwa amekuchomea ? Ama Askari Wetu wamekuwa Mahodari kiasi Hicho ?
Inaonekana sahivi yale mapapa sasa ndio muda wao kurudshia walichopteza kipindi cha awano ya tano mana walinyookaWanakuchomea, askari wa TZ bado sana kwenye hizi mambo kichwa kichwa.
Ingekua hivo basi kuna watu wengi sana wangeshakamatwa
Watu wamekamatwa salasala tegeta,,utasemaje wanasafirsha madawa?Daah bado watu wanaingia mkenge wa kusafirisha hiyo sumu....
mungu awasaidie
Wanachomana!!
Watu wamekamatwa salasala tegeta,,utasemaje wansafirsha madawa?
Hii inchi ngumu Sana...
Na ndy maana wanachukuwa muda mrefu kutoa hukumu.
Kuna tofauti Kati ya.
Trafficking
Dealing
Posession..
Vipini vya puaniWanachomana nini, NDIZI BUKOBA!
Huna habari kwamba wengi now wanachomoka mahakamani?Yote mwisho wake lazima ule waya tu! Kama nasema uongo basi jichomeke na wewe usikie mlio!
Ndo kinachofanyika sa hii.Inaonekana sahivi yale mapapa sasa ndio muda wao kurudshia walichopteza kipindi cha awano ya tano mana walinyooka