Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

Wengi wao washatoka mkuu

Na kwanini wakati ule kila anayekamatwa wanakuambia amekutwa na grm 250

Ilikuwa kama inapangwa

Ova
 
Wengi wao washatoka mkuu

Na kwanini wakati ule kila anayekamatwa wanakuambia amekutwa na grm 250

Ilikuwa kama inapangwa

Ova
Yes kila mtu alikuwa anakamatwa nyumbani kwake tena na kiasi kinachofanana grams 250.

Halafu ajabu wanawapa trafficking.

70% ya waliokamatwa wakati ule wameshatoka..

Ni kweli mkuu .
 
Yes kila mtu alikuwa anakamatwa nyumbani kwake tena na kiasi kinachofanana grams 250.

Halafu ajabu wanawapa trafficking.

70% ya waliokamatwa wakati ule wameshatoka..

Ni kweli mkuu .
Kuna mwana mmoja alikaa ndani kitambo sana alikamatwa port
Sasa mtiti huko mbeleni ikawa walete
Kidhibiti [emoji1]
Jamaa kidhibiti walishakinywa muda tu,jamaa alishikilia hapo hapo mpaka anakuja kutoka
Ila kuna kitu umecmnt,wajelajela wanakuwa vzr sana kwenye sheria
Na haki zao

Ova
 
kg 58 ni sawa ni zaidi ya viroba 2 vya unga wa ugali. Nazani ile tume ya kudhibiti madawa ya kulevya wanapo pa kuanzia.hii vita ni ngumu sana.nadhani serikali ingejikita kuuelewa mfumo wa biashara hii(maana hii ni operating system)
 
Kabisa mkuu.

Unajuwa mfungwa au mahabusu yeyeto akiingia gerezani siku ya kwnza lazima aulizwe kwamba yupo pale kwa kesi gani?

Hapo ndy atakapokutana na manguli wa Sheria na kuanzia kumfundisha jinsi ya kuchomoka.

Angalia sn hata picha za kimarekani za jela jela lazima waulizane.

Why he is here?
He is here for Marder,or drugs case,or human trafficking,or else.

Lakini lazima watu waulizane kwnz..ili mtambuane.
 
Mambo ya gerezani unaona ni big ishu unapotumia passport ya Nchi nyingine wakati wewe sio raia wa hiyo Nchi utakosa kwenda Gerezani au unadhani kutangaza kuwa gerezani ni sifa...nachosema wewe hakuna unachojua zaidi ya story mnazopeana vijiweni huko...
 
Sasa naelewa kwann sensa ya watu na makazi ilionyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume..


Shukran mkuu.
 
Sasa naelewa kwann sensa ya watu na makazi ilionyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume..


Shukran mkuu.
Utaongea matusi ila mimi siwezi kutukana nakwambia ukweli tuu mazee mimi nimekutana na watu wengi wa JF humu kupitia hizi nyuzi zenu wananijua vizuri na tunafanya mengi kupitia JF wewe endelea na dharau zitakusaidia saana...
 
Utaongea matusi ila mimi siwezi kutukana nakwambia ukweli tuu mazee mimi nimekutana na watu wengi wa JF humu kupitia hizi nyuzi zenu wananijua vizuri na tunafanya mengi kupitia JF wewe endelea na dharau zitakusaidia saana...
Dharau ulianza wewe kumtusi mtu usiyemjuwa.

Kunambiya mimi sina ninalojuwa zaidi ya story za vijiweni ,hizo sio dharau?

Mimi siongei kitu sikijuwi,, Ukiona nachangia hoja yeyote elewa najuwa ninachochangia.
kwa taarifa yako mimi ni simba mwenye ngozi ya kondoo.

nishakaa sehem chafu,na safi.
nishasafiri safari chafu na salama..

nikiongea jambo kuhusu safari za nje au mambo ya jela unapaswa ukae kwa kutulia..
unabishana na mtu ambaye ni nguli ktk maisha ya Street tena front line on the battle field..
 
Wale wafia dini huwezi kuwakuta wakikashifu dini kwenye uzi kama huu kwa sababu uwanja umeegemea pabaya.
Majina yangekuwa ya aina nyingine watu wangekuwa wamesha watag wapelekewe sabuni.
Ila kama sio wanajikausha kama sio wao vile.
 
Uliongea umejaza Passport nne wakati mimi Passport kumi ilikua 2015 nimetumia Passport ya Malawi na ya SA pia hizi mambo za safari unaweza ukaona upo juu kumbe kwa wengine ndio kama unaanza hayo mambo unayoyaongea kwa watu wa safari ni kitu cha kawaida tu wadogo zetu au watoto wetu ndio wanatakiwa watishiane kuhusu mambo ya Safari ila sio Legend kama mimi uniambiwe wewe sijui kaa kimya daah..
 
Sasa wewe 2015 ndy unasafiri mwenzio nimesafiri tangu 20000 huko ,,
Nikiwa na 22 years.
Nataka nikukamate uongo wako kwanza , hizo passport za malawi na south Africa ulisafiria kwenda inchi gani?
 
Sasa wewe 2015 ndy unasafiri mwenzio nimesafiri tangu 20000 huko ,,
Nikiwa na 22 years.
Nataka nikukamate uongo wako kwanza , hizo passport za malawi na south Africa ulisafiria kwenda inchi gani?
Nimeanza Safari mwaka 1998 baada ya kumaliza Six...Passport ya Malawi nilitumia kuingilia Angola wao kupata visa yao nilipokua De beers Marine walikua hawasumbuliwi mpaka sasa hivi sijaifuta passport ya SA ambayo nilikichukua kihalali Cape Town nimefanyia kazi ID ya SA na passport yao nimetumia kusafiria Nchi nyingi nimeacha kuitumia na natumia passport ya Tanzania baada ya huu mfumo wa E Passport kutokuweza kutumia passport mbili ni tatizo nikiwa SA natumia ID yao huku passport natuma kugongesha...nimekuja Tanzania na Passport ya kaburu mara nyingi sana
 
-Uliingia South Africa 1998 ,, ulitumia passport gani kuingia huko?
-Je ilikuchukuwa muda gani kupata passport ya south Africa?
-Ulipita njia gani kutoka tanzania kuifikia cape town.
 
-Uliingia South Africa 1998 ,, ulitumia passport gani kuingia huko?
-Je ilikuchukuwa muda gani kupata passport ya south Africa?
-Ulipita njia gani kutoka tanzania kuifikia cape town.
Maswali kama haya kaawaulize mapimbi wa safari au unataka kujifunza watu wapo humu wanajua mishe zangu nikudanganye wewe ili iweje au niendelee kukujibu napata nini kwako...leo nipo Tanzania mwezi ujao tukijaaliwa narudi SA nipo kwenye Utalii na uuzaji wa parts pamoja na magari kutoka SA ukitaka tuongelee pesa karibu sio mambo ya Passport ambayo hata wadogo zetu wa kike wametumia kusafiri nilishakwambia unaweza kuona kwako kigumu mtu mwingine kwake ni kirahisi mno...Passport za kubandika picha zilikua Passport mpaka za kumhoji mtu au ulichelewa kujua hizo mambo....
 
Nilichokugunduwa ni kwamba huna unachojuwa kuhusu safari wala south Africa.

Nilitaka nijiridhishe kitu na nimeshajuwa nabishana na fala mmoja ambaye hata Nairobi hajawahi fika..
Huenda ikawa upo kwenye kigenge chako cha viazi na nyanya
Unatuletea porojo za Safari za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…