KERO Wafanyabiashara ya chakula acheni kurudisha mabaki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna wauza chips zaidi ya mmoja nimewashuhudia wakiulizwa chips ni za moto basi wao wanazipima joto kwa mkono nyuma ya kiganja ...tatizo wengi ya wauza chips ni watu washamba wa vijijini wana tabia za uchafu wa asili wanashindwa kujua jema na baya.
 
Boresha kipato chako uwe unakula sehemu za kueleweka .

Si unawaona hata wanywa gongo, wale wanalishwa mpaka nyama za juzi kwenye vilabu vyao.
 
Na Mbagala 3 Colour.
 
Niliwahi shuhudia hii kitu kuna cafe flani, asseeh nlimchana muhusika had aliomba msamaha,

Japo sikua nahitaji mie zile chips, ila nliona anawalisha watu uchafu wake, Lol
 
Kifupi hakuna sehemu nzuri ya kula zaidi ya nyumbani kwako.

Hakuna mfanyabiashara yoyote wa chakula (awe mdogo au mkubwa) ambae hafanyi "manuva" kwenye uandaaji wa chakula ili ku maximize profit.

Mfano:
1. Vitu vilivyoharibika kama nyanya, karoti, hoho nk havitupwi kamwe.
2. Vitu vilivyobaki kama wali, kuku, nyama nk kesho vinaungwa upya
3. Vitu vilivyo expire hakuna anaetupa.
4. Maji yanayosafishia vyombo usiombe ukayaona
5. Nk
 
Unakuta ni baa kubwa tu jiko lipo kule..halafu unafunga take away.hapo ndo fursa Yao ya kukufanyia hivi.
 
Niliwahi shuhudia hii kitu kuna cafe flani, asseeh nlimchana muhusika had aliomba msamaha,

Japo sikua nahitaji mie zile chips, ila nliona anawalisha watu uchafu wake, Lol
Au mapande ya nyama na ndizi za kuchoma/kukaanga wanapokatakata wanazishikashika na mikono wazi..apo apo ashike tambara afute meza..aguse mayai mabichi..apokee hela...yaan ni shida
 
Au mapande ya nyama na ndizi za kuchoma/kukaanga wanapokatakata wanazishikashika na mikono wazi..apo apo ashike tambara afute meza..aguse mayai mabichi..apokee hela...yaan ni shida
Mie ndo maana sili kwenye cafe, hotel, restaurant, etc.
Hata iwe ya [emoji294] 5, ntazururaa na kulala tyuuh hapo, ila kula nehiii.
 
Maafisa afya hawafanyi kazi zao, inawezekana kudhibiti usafi kwa wauza chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…