Wafanyakazi poleni sana lakini tija ya kazi ni kama hakuna!

Wafanyakazi poleni sana lakini tija ya kazi ni kama hakuna!

Akili ikiwa bongolala miaka yote hata almasi ikiwa chini ya ardhi mita mbili, ninyi ndio mnaomba mchimbiwe hiyo almasi halafu mlipwe mshahara.

Hapa bongo ninyi bongolala ndio tunaowapenda maana unanizalishia 200% na nakulipa kiduchu kwa wewe kutoona fursa.
Sasa unalialia nini kwenye huu uzi wako?
 
Mkuu kwa hiyo wewe unafanya kazi zako unakula unalala unaamka,na day to day activities za Watu unahisi hayo yote yanatokea kama uyoga au sio??.kwa ukijua bila hao Watumishi unawaita wazembe shughuli zako unazifanya hazina maana.
 
Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli.
Kesho nitaonyesha kwa mahesabu jinsi tunavyochagua kutoendelea kwa uvivu wetu, na kulea umaskini kwa kutojua.
Hija yako haina ukweli wowote,Wafanyakazi wa Tanzania wanajitahidi sana tena sana,na wanachokifanya hakiendani na wanacholipwa.umetolea mfano hapo kwa Daktari-angalia standard za kidunia Daktari mmoja anatakiwa ahudumie angalau wagonjwa 20 kwa siku-Madaktari wa kibongo utakuta kwa siku Doctor mmoja anaona wagonjwa wasiopingua 40.
Na hapo ni field hiyo,unakuta Ofisi hazina hata hela za mafuta ya kiendea site.Wafanyakazi wanakwenda site kwa kupitiana vituo-bado unasema watu wanashinda Ofisini??.

Kiufupi Wafanyakazi wa Serikali wanafanya kazi katika mazingira magumi sana tena zaidi ya sana-still public inaona hawafanyi kazi.Wanashindwa kuona tatizo LA Msingi ambalo ni wao wenyewe kuweka madarakani Serikali isiyowajibika-wanatupia lawama kwa Watumishi.
 
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.

Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.

Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.

Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.

Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.

Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.

Kama Taifa tujitathmini.
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi , i hope akishatoa ufafanuzi account zitavimba maana mama unaupiga mwingi.
 
Ndiyo walivyokutuma hivyo? Bwege Nini.Miaka 6 hakuna nyongeza, Maisha juu halafu jitu utadhani limetoka chooni ukiona huwezi acha kazi, acha kwanza wewe mwehu mkubwa
Sasa nitaacha mara ngapi, Acha kulia lia mtoto wa kiume , wenzio hayo mambo ya kulia lia na kuwapigia watu magoti tulisha achana nayo , kwa upande wangu kazi za kuajiriwa nilifanya miaka miwili tu nikaona hakuna future nikaachana na mambo ya kusubiri mwisho Wa mwezi na kupangiwa kiasi cha kuingiza ndani ya mwezi , Kama hautojiongeza nakwambia kila siku utakua ni mtu Wa kulalamika tu , hakuna siku itakayotokea malalamiko yako yataisha , kuajiriwa sio lazima acha kujiendekeza hata wewe unaweza itwa boss , ni suala la maamuzi tu
 
Wambura atawaacha?
Ndugu yangu kwa huko Tz , sidhani huyo jamaa kama anaweza badili sana,'status quo' ya kila mtu kula kulingana na urefu wa kamba... maana ndio tatizo la mfumo mzima wa utendaji kazi atakaokuta karibu kila sehemu..... kazi iendelee.
 
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi , i hope akishatoa ufafanuzi account zitavimba maana mama unaupiga mwingi.

Jana nilisema nitatoa takwimu na mahesabu jinsi working culture ya Tanzania inavyoendekeza uvivu na umasikini.

Kwanza tuanze kwa kuweka the present Tanzanian working situation:
  1. Mfanayakazi anafanya kazi nchini kwa masaa 8 kwa siku(mtu akifanya kazi zaidi ya hapo utamlipa hadi ukome, yaani kuendeleza a mediocre working culture)
  2. kwa wiki kazi ni siku 5(jumatatu hadi ijumaa)
  3. Hivyo kwa wiki mfanyakazi atafanya kazi masaa 40
  4. Mwaka una siku 365, ondoa siku 30 za likizo, na siku 15 pengine mtu anaumwa au sikukuu, kwa hiyo mtu anafanya kazi kwa mwaka siku 330.
  5. Katika mwaka huo mfanyakazi wetu mpendwa ana faya kazi kwa masaa 330*8=2,640 hrs.
Nimefanya kazi na kampuni moja ya kigeni, kutoka nchi ya dunia ya kwanza, wao working culture iko hivi:
  1. Mfanyakazi ana fanya kazi kwa masaa 11 kwa siku(kuanzia 12.30 asubuhi hadi 12.30 jioni, mapumziko ya saa moja mchana)
  2. kwa wiki kazi ni siku sita, jumatatu hadi jumamosi hivyo kwa wiki masaa ya kazi ni 66!
  3. Katika mwaka huo huo wa mtanzania pamoja na siku 45 za likizo na sikukuu, wenzet wanapiga kazi 330*11=3630 hrs!!!
Sisi katika mtaji ule ule wa MUDA tulionao wenzetu mfanyakazi anafanya kazi masaa 3, 630 kwa mwaka , wakati sisi mfanya kazi mtanzania( tena mwaminifu) anafanya kazi kwa masaa 2,640 tu.
Yaani wenzetu mfanyakazi anafanya kazi kwa ziada ya masaa 1,010 hrs kwa mwaka, kuliko mfanya kazi wetu!!!

Kwa scenario hiyo kwa nini wenzetu wasiendelee kwa kasi wakati sisi hapa tunavulimilia mediocre working tendencies?

Halafu kwa uvivu huu wa kimasikini tunataka nyongeza kubwa ya mshahara!
 
Kwani walipoanza kazi walisaini kulipwa bei gani? Tuanzie hapo.
 
Kikubwa usisahau kukiwamba mali za umma, mtu unaamka kila siku saa 12 kuwai dawati la Huduma kwa wateja. Afu mbunge ambaye analala hovyo hovyo anapokea million 11 hadi miezi asiyofanyia kazi.

Tujitahidi kuhujumu tuu
Basi kagombee ubunge ulipwe millioni 11. Ndio maana wanasema kama kazi hii haikufai acha ukatafute hiyo inayokufaa yenye pesa nyingi. Wabunge waliacha kazi nyingine wakatafuta ubunge. Hata hamis kigwangala aliweka udaktari pembeni akaenda kuchuana na kina bashe na akaambulia nafasi ya tatu na leo mbunge.
 
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.

Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.

Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.

Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.

Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.

Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.

Kama Taifa tujitathmini.
Imeshawahi kujiuliza kwanini kuna posho kwenye semina, training na vikao mbalimbali?
 
Bora mfalme aliepita alisema ukweli kwamba haongezo mshahara ila alibana bei za bidhaa muhimu zisipae kama ilivyo sasa!

Unadhani hatujui bei za vitu zilianza kupanda lini huku ugumu wa fedha ukiwa juu? Umesahau msemo wa vyuma kukaza? Mafuta ya kula sukari, vifaa vya ujenzi vyote vilipanda wakati wa dhalimu. Unadhani tumesahau?
 
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.

Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.

Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.

Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.

Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.

Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.

Kama Taifa tujitathmini.
Contractor kama wewe anategemewa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa wenye tija na Value for money ana Fisadi mradi wakati mwingine kwa kushirikiana na hao hao Wafanyakazi wa Serikali huku akijifanya mjanja wa Mjini. Disgusting....
 
Back
Top Bottom