Sasa unalialia nini kwenye huu uzi wako?Akili ikiwa bongolala miaka yote hata almasi ikiwa chini ya ardhi mita mbili, ninyi ndio mnaomba mchimbiwe hiyo almasi halafu mlipwe mshahara.
Hapa bongo ninyi bongolala ndio tunaowapenda maana unanizalishia 200% na nakulipa kiduchu kwa wewe kutoona fursa.
Fanyeni kazi kwa kujituma, siyo kulilia hela ya bure isiyo lingana na tija ya ajira yako.Sasa unalialia nini kwenye huu uzi wako?
Mwalimu,nesi, magereza,mwanajeshi,atapigia wapi?Hahaha
Naona sahv watumishi watazidisha upigaji
Ova
Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli.Hakika umenena vyema...
Hija yako haina ukweli wowote,Wafanyakazi wa Tanzania wanajitahidi sana tena sana,na wanachokifanya hakiendani na wanacholipwa.umetolea mfano hapo kwa Daktari-angalia standard za kidunia Daktari mmoja anatakiwa ahudumie angalau wagonjwa 20 kwa siku-Madaktari wa kibongo utakuta kwa siku Doctor mmoja anaona wagonjwa wasiopingua 40.Watanzania wengi hawapendi kuambiwa ukweli.
Kesho nitaonyesha kwa mahesabu jinsi tunavyochagua kutoendelea kwa uvivu wetu, na kulea umaskini kwa kutojua.
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi , i hope akishatoa ufafanuzi account zitavimba maana mama unaupiga mwingi.Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.
Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.
Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.
Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.
Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.
Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.
Kama Taifa tujitathmini.
Sasa nitaacha mara ngapi, Acha kulia lia mtoto wa kiume , wenzio hayo mambo ya kulia lia na kuwapigia watu magoti tulisha achana nayo , kwa upande wangu kazi za kuajiriwa nilifanya miaka miwili tu nikaona hakuna future nikaachana na mambo ya kusubiri mwisho Wa mwezi na kupangiwa kiasi cha kuingiza ndani ya mwezi , Kama hautojiongeza nakwambia kila siku utakua ni mtu Wa kulalamika tu , hakuna siku itakayotokea malalamiko yako yataisha , kuajiriwa sio lazima acha kujiendekeza hata wewe unaweza itwa boss , ni suala la maamuzi tuNdiyo walivyokutuma hivyo? Bwege Nini.Miaka 6 hakuna nyongeza, Maisha juu halafu jitu utadhani limetoka chooni ukiona huwezi acha kazi, acha kwanza wewe mwehu mkubwa
Ndugu yangu kwa huko Tz , sidhani huyo jamaa kama anaweza badili sana,'status quo' ya kila mtu kula kulingana na urefu wa kamba... maana ndio tatizo la mfumo mzima wa utendaji kazi atakaokuta karibu kila sehemu..... kazi iendelee.Wambura atawaacha?
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi , i hope akishatoa ufafanuzi account zitavimba maana mama unaupiga mwingi.
Basi kagombee ubunge ulipwe millioni 11. Ndio maana wanasema kama kazi hii haikufai acha ukatafute hiyo inayokufaa yenye pesa nyingi. Wabunge waliacha kazi nyingine wakatafuta ubunge. Hata hamis kigwangala aliweka udaktari pembeni akaenda kuchuana na kina bashe na akaambulia nafasi ya tatu na leo mbunge.Kikubwa usisahau kukiwamba mali za umma, mtu unaamka kila siku saa 12 kuwai dawati la Huduma kwa wateja. Afu mbunge ambaye analala hovyo hovyo anapokea million 11 hadi miezi asiyofanyia kazi.
Tujitahidi kuhujumu tuu
Imeshawahi kujiuliza kwanini kuna posho kwenye semina, training na vikao mbalimbali?Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.
Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za biashara binafsi ,pengine wengi wangelipwa nusu tu cha wanacholipwa sasa.
Daktari ambaye angeweza kuwaona wagonjwa 70 kwa siku pengine anawaona 20 au 25.
Mhandisi wa wilaya ambaye angekagua kwa kina miradi mitano kwa siku anakagua mmoja na siku imeisha.
Meneja Utawala mwenye uwezo wa kushughulikia mafaili 50 kwa siku anashughulikia mafaili 5 hadi 10.
Wafanyakazi hawasimamiwi na wengine wana ED za daktari nyingi tu, au hawafiki kabisa kazini kwa sababu ambazo ni porojo tu.
Sasa hapo productivity kwa ujumla inaweza kuwa only 40% na watu wanataka nyongeza kubwa tu.
Hili haliwezekani kabisa hadi tija iongezeke ingalau 80-90%.
Nchi zilizoendelea wana put in masaa mengi tu ya kazi, productivity nzuri na hivyo mishahara kuwa mizuri.
Kama Taifa tujitathmini.
Bora mfalme aliepita alisema ukweli kwamba haongezo mshahara ila alibana bei za bidhaa muhimu zisipae kama ilivyo sasa!
Contractor kama wewe anategemewa kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa wenye tija na Value for money ana Fisadi mradi wakati mwingine kwa kushirikiana na hao hao Wafanyakazi wa Serikali huku akijifanya mjanja wa Mjini. Disgusting....Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.