Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingilio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty
Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nini shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa
Hivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yaani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, Walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti
Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini.
Biashara huwa Kuna kupanda na kushuka, club element wasipofanya mapema reform ya wafanyakazi basi Ile club haishuki inaenda kudondoka na kufa kabisa
Nimeamua niandikie leo japo ni tukio lililonitokea mwezi Jana. Sio mara yao ya kwanza kunitreat unfairly imekuwa ni tabia yao.. Tulienda pale na rafiki angu saa tano usiku tukalipa buku ten ya kiingirio tukaenda moja kwa moja kukaa meza moja ilikuwa empty
Muhudumu akaja akasema hii meza reserved, tukamwambia tuonyeshe pa kukaa, akaja baunsa kututoa kwa nguvu mpaka nje, kuulizia nn shida wakasema sisi wasumbufu. Tukasema watusamehe hatukujua but walikataa
Ivi kuulizia tu tukae wapi tayari ni kosa? Yani wana viburi, huduma mbovu wanathamini mastaa na matajiri tu mana hata ukienda na Gari ya IST au Vitz hupew parking, walahi yule mmasai hakupi pa kupaki. Ila wakiona LC 300 hapo wanakupokea na magoti
Mbaya zaidi ukionekana umeenda na bodaboda au bajaji umekwisha, hatihati wasikuruhusu. Lile baunsa lenye upara why lisitoleweee mbona jeuri saana afu Lina miaka mingi kweli pale sijui wanalibembeleza la nini
Huenda mlipoambiwa meza iko reserved mlileta jeuri? Labda. Kwa sababu sioni kwa nini mtolewe nje kwa sababu tu ya kusema muonyeshwe pakukaa. Inaonekana ninyi ni wageni kwenye sehemu za aina hii za starehe. N kawaida kabisa kukuta meza iko reserved na wateja na inatakiwa uheshimu. Pengine mlileta ubabe wa Tandale wa kulazimisha sehemu ya kukaa.

Basi tungerudishiwa pesa zetu za kiingirio. Umewahi kwenda pale? Siku moja alienda pale Harmonize akitaka kwenda chooni wote tunasubiri mpaka wasafishe aende yeye akimaliza ndotunaruhusiwa. Huenda boss hajui haya Ila wafanyakazi wake watamuangushia biashara
Iv machimbo yalivyo mengi iv bado mtu unakomaa sehemu isiyokuwa na customer care nzuri nawakati kuna machimbo ukitaka kwenda toilet unapewa na muhuduma akusindikize mtoto mkali
Hahaha nikajua huyo binti ni wewe ... Pole mkuu .. watu wengine wanataka ku maintain standard..wanakutreat utakavyo fika .. wa bodaboda hawezi kuwa sawa wa v8 hata kwenye spending humo ndani