FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Allahu AkbarTakbiir
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allahu AkbarTakbiir
Hilo ni wazo lako liheshimiwe lakini halina ukweli.Ukiona mmiliki wa basi au basi linazuiliwa kwasababu yoyote ujue mmiliki hajatoa hongo
Migogoro haijengi, Kilimanjaro ni kampuni kubwa inaweza kurekebisha na kusonga mbele.Kama Air Msae
Hilo neno Bujampora nasikia kihaya linamaana kuingizwa mkengeNdo yule tapeli aliyekatisha tiket basi hewa?
Wasmbie bibi Miss JF 2023.Mpaka chooni hata kama una... katiza, wanataka wanafunzi wachelewe shule? Shenzi taipu.
Na mimi nimeyaona juzi yakipakiza abiria pale stendi yao ndogo usikuMbona magari ya kilimanjaro yapo barabarani?
Wewe Bibi!!!!Mpaka chooni hata kama una... katiza, wanataka wanafunzi wachelewe shule? Shenzi taipu.
SawasawaMigogoro haijengi Kilimanjaro ni kampuni kubwa inaweza kurekebisha na kusonga mbele
Kwahyo mnasubiri sawaya adondoke 😂😂😂😂Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.
Chanzo gazeti la Mwananchi.
Hii kampuni isipoangalia inaweza kufilisika, tajiri ajipange
Mara ngapi ifilisikeHii kampuni isipoangalia inaweza kufilisika, tajiri ajipange
SIo leo.Kwahyo mnasubiri sawaya adondoke 😂😂😂😂
Anayejua kajua tu halafu jamaa anajua wapi apite.... Na kwenye magari biashara anaijua sana labda aamue kuacha mabus ila anajiweza sana kuliko wamiliki kibao wa mabasi.SIo leo.
Sawa alipoteaga kabisa naada ya kufumgwa.
Lakini alipotoka akaifufua kilimanjaro upya
Akibanwa kwa kilimanjaro atafungua kwa jina lingine.Anayejua kajua tu alaf jamaa anajua wapi apite.... Na kwenye magari biashara anaijua sana labda aamue kuacha mabus ila anajiweza sana kuliko wamiliki kibao wa mabasi
Mkuu kwa nchi yetu kupotea jamaa ni ngumu nchi ya vitu vidogo anapoteajeAkibanwa kwa kilimanjaro atafungua kwa jina lingine.
Ana malori mengi sana pia.
But ajitahidi kukwepa skendo zisizo na sababu
Una matatizo ya upumbavu, hii sio police state, ni police tu wenye uwezo kisheria to arrest, hii nchi ni choopunguzeni janja janja ma agent uchwara
mnatapeli abiria mkijua mtapona imekula kwenu
Kabisa kampuni bado inahitajika snTajiri afanye mabadiliko kabla hawaja mfilisi
Mabasi 35 ni kufilisika?Mara ngapi ifilisike
Mwanzo yalikuwa mangapi na quality ya huduma zake ilikuwaje?Mabasi 35 ni kufilisika?
True nimeona huduma zao zimeshaanza kuwa za kihuni huni, juzi nilisafiri na hayo magari yaani ni uchafu tupu kwanza wamejazana ndugu wengi sana bila sababu, huwezi kuendesha kampuni kwa kutumia waru wengi hiviHii kampuni isipoangalia inaweza kufilisika, tajiri ajipange