Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.

Chanzo gazeti la Mwananchi.
Kwahyo mnasubiri sawaya adondoke 😂😂😂😂
 
SIo leo.
Sawa alipoteaga kabisa naada ya kufumgwa.
Lakini alipotoka akaifufua kilimanjaro upya
Anayejua kajua tu halafu jamaa anajua wapi apite.... Na kwenye magari biashara anaijua sana labda aamue kuacha mabus ila anajiweza sana kuliko wamiliki kibao wa mabasi.
 
Anayejua kajua tu alaf jamaa anajua wapi apite.... Na kwenye magari biashara anaijua sana labda aamue kuacha mabus ila anajiweza sana kuliko wamiliki kibao wa mabasi
Akibanwa kwa kilimanjaro atafungua kwa jina lingine.
Ana malori mengi sana pia.

But ajitahidi kukwepa skendo zisizo na sababu
 
Akibanwa kwa kilimanjaro atafungua kwa jina lingine.
Ana malori mengi sana pia.

But ajitahidi kukwepa skendo zisizo na sababu
Mkuu kwa nchi yetu kupotea jamaa ni ngumu nchi ya vitu vidogo anapoteaje
 
punguzeni janja janja ma agent uchwara
mnatapeli abiria mkijua mtapona imekula kwenu
Una matatizo ya upumbavu, hii sio police state, ni police tu wenye uwezo kisheria to arrest, hii nchi ni choo
 
Back
Top Bottom