Wanfaye electronic tickets kama bm na abood unapunguza utitiri wa wafanyakazi ..wasio na ulazimapunguzeni janja janja ma agent uchwara
mnatapeli abiria mkijua mtapona imekula kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanfaye electronic tickets kama bm na abood unapunguza utitiri wa wafanyakazi ..wasio na ulazimapunguzeni janja janja ma agent uchwara
mnatapeli abiria mkijua mtapona imekula kwenu
Nakubuliana na ww kilimanjaro hii sio ile ya miaka 3 iliyopitaMigogoro haijengi Kilimanjaro ni kampuni kubwa inaweza kurekebisha na kusonga mbele
Akikujibu ni tag kwa nini wasifanye kama bm na abood, wapo smart kila point na hudumu za maanaMwanzo yalikuwa mangapi na quality ya huduma zake ilikuwaje?
Dah Kilimanjaro imefikia huku?Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.
Chanzo gazeti la Mwananchi.
Kampuni yako ambayo haijafa ni ipi?Dah Kilimanjaro imefikia huku?
Kampuni imeshakufa hii
KilimanjaroKampuni yako ambayo haijafa ni ipi?
SureNakubuliana na ww kilimanjaro hii sio ile ya miaka 3 iliyopita
Punguza shobo kwenye mali za watuKilimanjaro
Imeshuka sn lakini si haba 35Mwanzo yalikuwa mangapi na quality ya huduma zake ilikuwaje?
Kampuni naifahamu vizuri sn imekuwa na changamoto snTrue nimeona huduma zao zimeshaanza kuwa za kihuni huni, juzi nilisafiri na hayo magari yaani ni uchafu tupu kwanza wamejazana ndugu wengi sana bila sababu, huwezi kuendesha kampuni kwa kutumia waru wengi hivi
Ni mali zako kwani?unawashwa washwa wewe chawaPunguza shobo kwenye mali za watu
Sasa huko ndio kufilisika kwenyeweImeshuka sn lakini si haba 35