Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

Wafanyakazi wa kampuni ya mabasi ya KILIMANJARO wakamatwa Moshi, walishindwa kuwatafutia abiria usafiri mbadala na kujificha

Hakuna kampuni inayoikuta Kilimanjaro Tanzania hii hakuna. Mengine ni wivu wa kisukuma tuuu
 
Angekuwa yule mwingine story ingekuwa ana chuki na akina fulani.
 
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Moshi imewakamata wafanyakazi wa kampuni tajwa hapo juu baada ya kujificha maliwatoni na kuwatelekeza abiria pasipo kuwatafutia usafiri mbadala baada ya kampuni yao kufungiwa na LATRA.

Chanzo gazeti la Mwananchi.
Dah Kilimanjaro imefikia huku?
Kampuni imeshakufa hii
 
True nimeona huduma zao zimeshaanza kuwa za kihuni huni, juzi nilisafiri na hayo magari yaani ni uchafu tupu kwanza wamejazana ndugu wengi sana bila sababu, huwezi kuendesha kampuni kwa kutumia waru wengi hivi
Kampuni naifahamu vizuri sn imekuwa na changamoto sn
 
hao mabinti wanavyo kwea karandinga acha tuh haya maisha walah
 
Back
Top Bottom