Akiweza kukuelewa nakununulia kijiji umiliki.Mkuu,
siyo kila mtoa wazo anataka kuwa kiongozi. Unaweza kuwa kiongozi bila kukwaa madaraka.
Ukiweza kutibu akili za watu kama wewe ni zaidi ya uongozi
KUMBUKA: CCM haitegemei kura ili ishinde kwenye uchaguziAhadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.
Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.
Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.
Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
Asiyeelewa acharazwe viboko "salasini"!
Wapumbavu hacha waminywe , watu hawazi jitetea ila ndo kwanza wapo kwa maandamano ,ujinga gani huuAhadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.
Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.
Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.
Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
Tatizo lao ni kushindwa kujitetea au kuandamana?Kosa lao ni lipi?Wapigane?Wapumbavu hacha waminywe , watu hawazi jitetea ila ndo kwanza wapo kwa maandamano ,ujinga gani huu
ndio maana tunapinga mercenaries na puppets 🐒Mkuu,
siyo kila mtoa wazo anataka kuwa kiongozi. Unaweza kuwa kiongozi bila kukwaa madaraka.
Ukiweza kutibu akili za watu kama wewe ni zaidi ya uongozi
Tuchukulie watumishi wa umma/wafanyakazi wamechoka akili hadi hawajui wafanye nini kiwasaidie.Washauri/waazime akili zako.Wafanye nini kujikwamua na madhila hayo?Si kwa haya mazuzu ya nchi hii. Utaona mwakani uzezeta watakaofanyiwa.
N.B nchi hii mazuzu ni mengi kuliko timamu, inafanya sote tuonekane ni mazuzu.
Ushilikiano=Ushirikiano...Ushilikiano wetu Mimi na wewe utatuokoa sisi na kizazi chetu kutoka kwenye Mikono dhalimu ya CCM
Mkuundio maana tunapinga mercenaries na puppets 🐒
kwamba wanakaa ulaya wanatuma mtu aje kuvuruga nchi kwa maelekekezo na ushauri wao na kwamaslahi yao. na tayari mmeadapt fikra za kwamba ati nisipokua kiongozi wengine watakua 🐒
hiyo haiwezekani. mawazo na fikra za kitumwa hazikubaliki 🐒
Kwenye uandishi wako haujazingatia "punctuation " kama ulivyomkosoa mwenzako.Ushilikiano=Ushirikiano...
na actually siwezi kushirikiana wala kubabaika na wavivu, mamluki na vibaraka kwa chochote 🐒
Msanii soma hapa soma tena na tena , kwa macho yangu nilishuhudia,KUMBUKA: CCM haitegemei kura ili ishinde kwenye uchaguzi
Inategemea wakurugenzi+ wanajeshi + polisi+ wasimamizi wa vituo hasa walimu (wanatumiwa indirect)
Hata CCM akipata kura 30% na mpinzani wa kwanza akapata 50%
CCM itapita tu kwa 50% za upinzani
Kwa hiyo hapa unataka kusema kuwa wafanyakazi hawafanyi kazi kwa bidii ndio maana hawaongezewi mishahara?lazima kuwe na msisitizo katika mambo ya msingi katika nchi....
watumishi wasifanywe ni watu wanaoweza kurubuniwa kirahisi na watu wasio wazalendo kwama fedha na mali...
ipo wazi, na wanafahamu vizuri hili,
kwamba ili apate malipo mazuri lazima afanye kazi kwa bidii. sio from no whwere aje mtu kirahisi tu kwamba awaahidi watu kwamba atawapatia malipo haya na haya bila kufanya kazi kwa bidii...
haipo hivyo na haiwezekani kabisa....
Ni mnufaika wa mfumo huyo yawezekana tukawa tunajibizana na kina bashite bila kujua ndugu.Unamshauri hivyo huyo?Anaipenda CCM kuliko mama yake.Hajali maisha yake.
Umemaliza!!! Uzi ufungwe. Mtoa mada anadhani idadi ya Watumishi wa Serikali ni 96% ya wapiga kura. Halafu hafahamu kuwa hakuna Tume huru ya Uchaguzi Tanzania.Idadi ya watumishi wa serikali haizidi milioni 2 na wapiga kura wako zaidi ya milioni 25. Hivyo hasira yao haitawasaidia.
Pia ccm haitegemei kura kushinda uchaguzi, inategemea dola na tume tu
TUCTA ni tawi kuu la CCMAhadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.
Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.
Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.
Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.
Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
Aliona hana cha kusema mbele ya watumishiKila mtumishi wa Serikali akipata fursa ya kusema machache hata yale yanayohusu taaluma yake, ni mwendo wa kushukuru Mungu na kusifia Samia Suluhu Hassan kwa kutoa pesa ya kutosha......kimsingi kuupiga mwingi!!! 🤓
Leo mgeni wetu wa heshima hakutokea kwenye sherehe inayowahusu watumishi kama ilivyo desturi. Nini kimejiri wajameni? 🤔