Pre GE2025 Wafanyakazi wa Tanzania badilikeni. Hakuna wa kuwasaidia zaidi ya kadi yako ya kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
KUMBUKA: CCM haitegemei kura ili ishinde kwenye uchaguzi

Inategemea wakurugenzi+ wanajeshi + polisi+ wasimamizi wa vituo hasa walimu (wanatumiwa indirect)

Hata CCM akipata kura 30% na mpinzani wa kwanza akapata 50%

CCM itapita tu kwa 50% za upinzani
 
Wapumbavu hacha waminywe , watu hawazi jitetea ila ndo kwanza wapo kwa maandamano ,ujinga gani huu
 
Si kwa haya mazuzu ya nchi hii. Utaona mwakani uzezeta watakaofanyiwa.

N.B nchi hii mazuzu ni mengi kuliko timamu, inafanya sote tuonekane ni mazuzu.
 
Mkuu,
siyo kila mtoa wazo anataka kuwa kiongozi. Unaweza kuwa kiongozi bila kukwaa madaraka.

Ukiweza kutibu akili za watu kama wewe ni zaidi ya uongozi
ndio maana tunapinga mercenaries na puppets 🐒

kwamba wanakaa ulaya wanatuma mtu aje kuvuruga nchi kwa maelekekezo na ushauri wao na kwamaslahi yao. na tayari mmeadapt fikra za kwamba ati nisipokua kiongozi wengine watakua 🐒

hiyo haiwezekani. mawazo na fikra za kitumwa hazikubaliki 🐒
 
Si kwa haya mazuzu ya nchi hii. Utaona mwakani uzezeta watakaofanyiwa.

N.B nchi hii mazuzu ni mengi kuliko timamu, inafanya sote tuonekane ni mazuzu.
Tuchukulie watumishi wa umma/wafanyakazi wamechoka akili hadi hawajui wafanye nini kiwasaidie.Washauri/waazime akili zako.Wafanye nini kujikwamua na madhila hayo?
 
Ushilikiano wetu Mimi na wewe utatuokoa sisi na kizazi chetu kutoka kwenye Mikono dhalimu ya CCM
Ushilikiano=Ushirikiano...

na actually siwezi kushirikiana wala kubabaika na wavivu, mamluki na vibaraka kwa chochote 🐒
 
ndio maana tunapinga mercenaries na puppets 🐒

kwamba wanakaa ulaya wanatuma mtu aje kuvuruga nchi kwa maelekekezo na ushauri wao na kwamaslahi yao. na tayari mmeadapt fikra za kwamba ati nisipokua kiongozi wengine watakua 🐒

hiyo haiwezekani. mawazo na fikra za kitumwa hazikubaliki 🐒
Mkuu
Dunia ya leo ukitaka kufanya propaganda hakikisha una akiba ya akili na soni za kutosha.

Hawa waliopo wanavuruga nchi wakiwa humo humo ndani na pia wamenunua makazi huko nje.... Usiwaze sana wewe pigia kura CCM lakini sisi wengine tumeshaona hakuna la maana kutoka humo
 
KUMBUKA: CCM haitegemei kura ili ishinde kwenye uchaguzi

Inategemea wakurugenzi+ wanajeshi + polisi+ wasimamizi wa vituo hasa walimu (wanatumiwa indirect)

Hata CCM akipata kura 30% na mpinzani wa kwanza akapata 50%

CCM itapita tu kwa 50% za upinzani
Msanii soma hapa soma tena na tena , kwa macho yangu nilishuhudia,
 
lazima kuwe na msisitizo katika mambo ya msingi katika nchi....

watumishi wasifanywe ni watu wanaoweza kurubuniwa kirahisi na watu wasio wazalendo kwama fedha na mali...

ipo wazi, na wanafahamu vizuri hili,
kwamba ili apate malipo mazuri lazima afanye kazi kwa bidii. sio from no whwere aje mtu kirahisi tu kwamba awaahidi watu kwamba atawapatia malipo haya na haya bila kufanya kazi kwa bidii...

haipo hivyo na haiwezekani kabisa.... :whatBlink:
Kwa hiyo hapa unataka kusema kuwa wafanyakazi hawafanyi kazi kwa bidii ndio maana hawaongezewi mishahara?
 
Ushilikiano=Ushirikiano...

na actually siwezi kushirikiana wala kubabaika na wavivu, mamluki na vibaraka kwa chochote 🐒
One against many...
Si ajabu hata lusifa ana watetezi wake.

Hatushangai
 
Msanii soma hapa soma tena na tena , kwa macho yangu nilishuhudia,
Upo sahihi. Lakini hata kwa kijiko cha chai, tutauchimba mlima kidogo kidogo na vilembwe watakuja kumalizia
 
Idadi ya watumishi wa serikali haizidi milioni 2 na wapiga kura wako zaidi ya milioni 25. Hivyo hasira yao haitawasaidia.

Pia ccm haitegemei kura kushinda uchaguzi, inategemea dola na tume tu
Umemaliza!!! Uzi ufungwe. Mtoa mada anadhani idadi ya Watumishi wa Serikali ni 96% ya wapiga kura. Halafu hafahamu kuwa hakuna Tume huru ya Uchaguzi Tanzania.
 
Ahadi za kupandishwa mishahara halafu kunafuatiwa mlolongo mreefu wa kiwango gani kipande, huku kila msimu wa Bunge viongozi wakijilimbikizia mafao ya kustaafu hiyo si sahihi.

Haya sasa, sheria imepitishwa Bungeni kuwa wenza wa viongozi wastaafu watalipwa mafao, ni wazi HAZINA ipo pesa ya kutosha.

Kikokotoo kimewekwa dhidi ya wavuja jasho wa nchi hii huku wala jasho la wafanyakazi hawahusiki na kikokotoo.

Kadi zenu za Kura ziwakomboe kutoka hili janga la kujitakia lililoasisiwa na CCM.

Uchaguzi mwakani, watawaongezea mshahara kiduchu ili kuwahadaa. Hakuna jipya bali ni hadaa tu.
TUCTA ni tawi kuu la CCM
 
Kila mtumishi wa Serikali akipata fursa ya kusema machache hata yale yanayohusu taaluma yake, ni mwendo wa kushukuru Mungu na kusifia Samia Suluhu Hassan kwa kutoa pesa ya kutosha......kimsingi kuupiga mwingi!!! 🤓

Leo mgeni wetu wa heshima hakutokea kwenye sherehe inayowahusu watumishi kama ilivyo desturi. Nini kimejiri wajameni? 🤔
Aliona hana cha kusema mbele ya watumishi
 
Back
Top Bottom