Dah ambangile anajua sana uchambuzi sidhani kama clouds itamfaa wanakelele sanaHata sifahamu mkuu, Hajareveal wapi anakwenda. Kuna jambo behind the scenes.
Taarifa za mwisho nilikuwa nazo, wasafi Hali ni mbaya ,mwezi wa 11 walikosa mishahara ,wakalipwa mwezi wa 12, naona Hali imerudi kuwa mbaya ,Hata sifahamu mkuu, Hajareveal wapi anakwenda. Kuna jambo behind the scenes.
huo mda unaotumia kumfuatilia kusaga na hio redio ungeiweka katika kuanzisha redio yako saaahv spika zote zingekua zinakuskiliza, umaskini mbaya sanaKwanini huyo kusaga asichukue hatua za kisheria kuhusu huo utapeli wadiamond ?
Hii inaitwa chawa na uchawa effect!Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
Inaitwa kufilisika kwa chawa na uchawa!Taarifa za mwisho nilikuwa nazo, wasafi Hali ni mbaya ,mwezi wa 11 walikosa mishahara ,wakalipwa mwezi wa 12, naona Hali imerudi kuwa mbaya ,
Waliotengeneza legacy au jina ndio hao kina ambangile hawatachelewa kupata machaka
Aiseee inasikitisha sana ,namuhurumia Mussa Kipanya ,katema Big G(Efm) kwa karanga za kuonjeshwa(Wachafu FM) ,haya sasa kavamia mtumbwi wa vibwengo amezama nao.Taarifa za mwisho nilikuwa nazo, wasafi Hali ni mbaya ,mwezi wa 11 walikosa mishahara ,wakalipwa mwezi wa 12, naona Hali imerudi kuwa mbaya ,
Waliotengeneza legacy au jina ndio hao kina ambangile hawatachelewa kupata machaka
Hongera wewe tajiri na bashalako Abdul.huo mda unaotumia kumfuatilia kusaga na hio redio ungeiweka katika kuanzisha redio yako saaahv spika zote zingekua zinakuskiliza, umaskini mbaya sana
Mkuu huyo jamaa kwenye avatar picha yako ni ARVs ndo zimefanya uso wake kufumuka hivyo?Changamoto pale hakuna marinda
Wamuombe mheshimiwa mbunge wa Kigoma awasaidie kulipa mishahara!!Mishahara hakuna
Wasafi radio nduobya wapi hiyo?!Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
Ushuhuda mzuri sanaSijui kuhusu kinachoendelea Wasafi ila kwa uzoefu wangu nilio nao kuhusu vituo vya redio ni kuwa ni biashara ngumu sana kwa sasa... social media imewavuruga mno. Watangazaji ni miongoni mwa waajiriwa Tanzania wenye mishahara midogo mno. Mwalimu wa shule ya serikali anazidiwa mshahara na watangazaji wachache sana yaani wanahesabika. Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi Zantel alishauri kituo nilichokuwa nafanyia kazi kuwekeza sana online ila hakusikilizwa wamekuja kushtuka it is too late.
Kama ni kweli wanapitia hali ngumu cha muhimu Wasafi waajiri vijana wadogo wenye hamasa ya kuwa watangazaji wawalipe hata laki 2 kwa mwezi ila kukabiliana na hali iliyopo. Wabakize wakongwe hata watatu tu.
Kuendesha kampuni kazi sana ,hasa pale unapotaka kampuni ijiendeshe yenyewe bila pesa za pembeniKukosa salary ya workers isikie kwa mwenzio