King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Aache mbwembwe sasa ,sisi tunajua chibu ni bilionea "sa inakuwaje" anashindwa kulipa mishahara,hapo nimeelewa.Diamond ana share wasafi media kupitia brand image yake ya wasafi, lakini mzigo anatoa Kusaga. Majukumu ya diamond ni kuja front tu na ku-act kama hiyo ni media yake.
Biashara ambazo diamond anakuja front nyingi sio zake. Mfano wasafi bet, chibu pafyumu, wasafi.com, diamond karanga. Sijajua vizuri kuhusu wasafi soap.
Yaan mfsno leo hii uanzishe hotel halafu uingie makubaliano na cristiano ronaldo kuiita hotel yako CR7 hotel then ronaldo unampa share lakini gharama zote za uendeshaji ni zako. ni mbinu ya kibiashara kupenya sokoni kirahisi
Na leo pia nimeona mtangazaji mwingine anaitwa sijui amy gyal na yeye ametoa senki yu.