stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
hongera maskini na basha wako alie jelaHongera wewe tajiri na bashalako Abdul.
hongera maskini na basha wako alie jelaHongera wewe tajiri na bashalako Abdul.
Huko efm mwenyewe hali Huwa ni Tete mishahara hakuna ulizia vizuri wanfanyakazi wa hapoAiseee inasikitisha sana ,namuhurumia Mussa Kipanya ,katema Big G(Efm) kwa karanga za kuonjeshwa(Wachafu FM) ,haya sasa kavamia mtumbwi wa vibwengo amezama nao.
Majizo mrudishe Mussa Kipanya akaungane na Baby Mama.
Huko efm mwenyewe hali Huwa ni Tete mishahara hakuna ulizia vizuri wanfanyakazi wa hapo
Dayamondi si bilionea? Anashindwa kuwa na bajeti ya wafanyakazi wake kuwalipa kwa muda wa miaka miwili huku wakitafuta mikakati ya kujikwamua? Kufa kwa wasafi Fm ni aibu sana ,asiruhusu hicho kitu kutokea ,wapo mabilionea wengi wenye hela aombe support waweke mzigo ,sitaki kuamini kwamba biashara ya redio hailipi ,kila redio zina vipindi vya manabii na wasafi wafikirie pia kufanya colabo na manabii.Sijui kuhusu kinachoendelea Wasafi ila kwa uzoefu wangu nilio nao kuhusu vituo vya redio ni kuwa ni biashara ngumu sana kwa sasa... social media imewavuruga mno. Watangazaji ni miongoni mwa waajiriwa Tanzania wenye mishahara midogo mno. Mwalimu wa shule ya serikali anazidiwa mshahara na watangazaji wachache sana yaani wanahesabika. Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi Zantel alishauri kituo nilichokuwa nafanyia kazi kuwekeza sana online ila hakusikilizwa wamekuja kushtuka it is too late.
Kama ni kweli wanapitia hali ngumu cha muhimu Wasafi waajiri vijana wadogo wenye hamasa ya kuwa watangazaji wawalipe hata laki 2 kwa mwezi ila kukabiliana na hali iliyopo. Wabakize wakongwe hata watatu tu.
Nakupa hiiLawama za wafanyakazi wa vyombo vya habari kutolipwa kwa wakati au kiduchu zimekuwa vingi tena hadi kwa mainstream media ,sasa kama lawama ni nyingi mbona kuna utitiri wa vyombo vya habari sana maana yake vinalipa ndiyo maana vinaanzishwa daily.
Vyombo vya habari inabidi viwe vinapata ruzuku ya serikali kama vyama vya siasa aisee maana kama ni hivyo hali ni TETE.
Ukitaka kufungua biashara jitahidi kuwa na diversity ,yaani biashara moja ikiyumba inalisha nyingine mpaka itapokaa sawa ,nilitegemea dayamondi ana biashara nyingi ukiacha redio ,anaachaje aiue biashara kubwa ya Wasafi FM wakati Mzigo anao? Si atoe fungu kwenye biashara nyingine awalipe staffs wake? Kwani staffs wake mishahara si ya kawaida tu? Afanye kama clouds wanavyofanya staffs wao mishahara penenge ila wamepewa fursa free ya kutangaza biashara zao ambazo kinawaboost kwenye mapato.Kuendesha kampuni kazi sana ,hasa pale unapotaka kampuni ijiendeshe yenyewe bila pesa za pembeni
Hao vijana wa kulipwa laki mbili bora wachukue code za Yas,Halotel au Voda waingie mtaani kusajili laini kwa mwezi wakisajili wateja 150 tu hawatakosa laki tatu na nusu kuliko kupoteza muda hapo!Sijui kuhusu kinachoendelea Wasafi ila kwa uzoefu wangu nilio nao kuhusu vituo vya redio ni kuwa ni biashara ngumu sana kwa sasa... social media imewavuruga mno. Watangazaji ni miongoni mwa waajiriwa Tanzania wenye mishahara midogo mno. Mwalimu wa shule ya serikali anazidiwa mshahara na watangazaji wachache sana yaani wanahesabika. Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi Zantel alishauri kituo nilichokuwa nafanyia kazi kuwekeza sana online ila hakusikilizwa wamekuja kushtuka it is too late.
Kama ni kweli wanapitia hali ngumu cha muhimu Wasafi waajiri vijana wadogo wenye hamasa ya kuwa watangazaji wawalipe hata laki 2 kwa mwezi ila kukabiliana na hali iliyopo. Wabakize wakongwe hata watatu tu.
Huko mawilayani Kuna radio zao za huko zinasikilizwa kuliko hata hizo cloudsDayamondi si bilionea? Anashindwa kuwa na bajeti ya wafanyakazi wake kuwalipa kwa muda wa miaka miwili huku wakitafuta mikakati ya kujikwamua? Kufa kwa wasafi Fm ni aibu sana ,asiruhusu hicho kitu kutokea ,wapo mabilionea wengi wenye hela aombe support waweke mzigo ,sitaki kuamini kwamba biashara ya redio hailipi ,kila redio zina vipindi vya manabii na wasafi wafikirie pia kufanya colabo na manabii.
Radio Kwizera pia ina projects za BBC.Nakupa hii
Radio za mikoani nyingi hazina shida za Hela Kwa mishahara ya wafanyakazi Kawasababu radio nyingi kule zina mikataba ya projects nyingi za mashirika ya uwezeshaji.
Kule Ngara Kuna radio inaitwa Radio Kwizera. Ina miaka na miaka projects zake nyingi ni Za serikalinna NGOs kwenye awareness campaign. Wanalamba Hela huko.
Same to Iringa na mikoa mingine mingi.
Radio nyingi za Dar ( hizi kubwa kwasasa hali ni mbaya Nina rafiki zangu wengi wako clouds na hiyo efm mishahara hawapati.
Zile radio za wilayani NGO kama inataka project kwenye hiyo wilaya wanamwaga Hela kwenye hiyo radio campaign zinaanza. NGO hawaji kumwaga Hela DAR ( EFM) kupiga campaign ya kuchimba tohara wilaya ya ileje. Hakuna hiyo
Campaign zinapigwa kwenye wilaya au mkoa husika hususani radio zake.
Makampuni mengi ya solar siku hizi hawapeleki matangazo hizo radio za dar wanapeleka kwenye hizo radio za wilayani kwasababu huko ndio Kuna wateja wao. Yani mambo ni mengi sana.
Siku ukienda mawilayani huko ndio utaelewa.
Hata kama ungekuwa wewe mkuuSijui kuhusu kinachoendelea Wasafi ila kwa uzoefu wangu nilio nao kuhusu vituo vya redio ni kuwa ni biashara ngumu sana kwa sasa... social media imewavuruga mno. Watangazaji ni miongoni mwa waajiriwa Tanzania wenye mishahara midogo mno. Mwalimu wa shule ya serikali anazidiwa mshahara na watangazaji wachache sana yaani wanahesabika. Mwaka 2011 kuna jamaa mmoja alikuwa anafanya kazi Zantel alishauri kituo nilichokuwa nafanyia kazi kuwekeza sana online ila hakusikilizwa wamekuja kushtuka it is too late.
Kama ni kweli wanapitia hali ngumu cha muhimu Wasafi waajiri vijana wadogo wenye hamasa ya kuwa watangazaji wawalipe hata laki 2 kwa mwezi ila kukabiliana na hali iliyopo. Wabakize wakongwe hata watatu tu.
Nadhani unapata pichaRadio Kwizera pia ina projects za BBC.
Nani ana uhakikwa salary amaount ya mtangazaju wa Wasafi na wapo wangapi ili tuone nu kias gan cha hela kinasumbha kwa mweziTuwakamate wote warudi kazini kudumisha amani.
Ni kweli mkuu ,wamiliki wa redio za mjini wamepata picha hapa...Nilikuwa najiuliza kama redio za mjini zimeyumba mbona za kijijini zinaendelea fresh tu? Kumbe siri ni hiyo.Hata kama ungekuwa wewe mkuu
Unataka kufanya projects ya afya wilaya za mkoa wa Tabora. Huwezi kupeleka matangazo yako Clouds au EFM.
Sasa hivi NGO labda na wizara ya afya wanapeleka matangazo kwenye local radio za wilaya kwasababu ndio ziko kwenye eneo la projects.
Radio za wilayani huko ndani ndani Nenda kazisikilize utakuta matangazo wanayo mengi sana.
Kuna radio Moja pale Mbeya imejaa matangazo ya solar na miradi ya afya katika wilaya hiyo.
Matangazo wanayopeleka EFM au Clouds ni yake ya NATIONAL LEVEL
Nadhani unapata picha
Hao Kwizera walilamba Dili la NGO PLAN international kwenye education awareness. Ni Hela nyingi. Na huwezi kusikia hizo local/ district radio eti zinayumba.
Advantage Yao ni kuwa wako kwenye population ya wanufaika wa miradi mingi ya serikali na NGO.
Kwa mfano wanunuaji wa solar wako huko wilayani sio Dar Sasa kampuni ya solar itapelekaje matangazo EFM Ambayo hata vijijini haisikiki wakati huko wilayani kwenye hizo project Kuna radio zinasikika Hadi vijijini
Mimi nilisikia wanahama ofisi, kwahiyo lazima vipindi visimame wakati wanafanya set up ya ofisi mpyaNaona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
Tumsifu Yesu kristo!Mimi nasikiliza radio Maria hizo redio za CCM hua sina muda nazo