MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mkuu hakuna redio ya mjini wala kijijini ambayo haijaathiriwa na social media. Tena huko mikoani ndo hali tete zaidi. Hizo project unazosema huwa ni mara chache na kwa redio chache zitakazobahatika. Mbaya zaidi ni kuwa hadi upate huo mchongo kuna watu lazima nao wapate mgawo wao. Redio za mikoani ndo hulipa watangazaji laki 1 hadi laki na nusu. Kwa mfano Radio 5 Arusha huwa wanaweza fika hata miezi 8 hawajalipa mishahara.Hata kama ungekuwa wewe mkuu
Unataka kufanya projects ya afya wilaya za mkoa wa Tabora. Huwezi kupeleka matangazo yako Clouds au EFM.
Sasa hivi NGO labda na wizara ya afya wanapeleka matangazo kwenye local radio za wilaya kwasababu ndio ziko kwenye eneo la projects.
Radio za wilayani huko ndani ndani Nenda kazisikilize utakuta matangazo wanayo mengi sana.
Kuna radio Moja pale Mbeya imejaa matangazo ya solar na miradi ya afya katika wilaya hiyo.
Matangazo wanayopeleka EFM au Clouds ni yake ya NATIONAL LEVEL
Nadhani unapata picha
Hao Kwizera walilamba Dili la NGO PLAN international kwenye education awareness. Ni Hela nyingi. Na huwezi kusikia hizo local/ district radio eti zinayumba.
Advantage Yao ni kuwa wako kwenye population ya wanufaika wa miradi mingi ya serikali na NGO.
Kwa mfano wanunuaji wa solar wako huko wilayani sio Dar Sasa kampuni ya solar itapelekaje matangazo EFM Ambayo hata vijijini haisikiki wakati huko wilayani kwenye hizo project Kuna radio zinasikika Hadi vijijini
Vijana wanapenda umaarufu hata bila hela. Wengi redioni hawalipwi kabisa hata hiyo 200k. Hiyo 200k ni kwa watangazaji wenye majina. Wangejifunza kupika chapati, maandazi na bites zingine na kwenda kuziuza karibu na shule ya msingi. Mtu kama George Ambangile angevutia watoto wengi kununua chapati au maandazi yake.Hao vijana wa kulipwa laki mbili bora wachukue code za Yas,Halotel au Voda waingie mtaani kusajili laini kwa mwezi wakisajili wateja 150 tu hawatakosa laki tatu na nusu kuliko kupoteza muda hapo!
😅😅
Hivi hawa waajiri huwa wanawaza nini kumpa mfanyakazi laki 1 kwa mwezi? Hivi laki 1 inatosha hata nauli? Kuna waraka umetoka wa kima cha chini cha mshahara kwa sector binafsi inabidi washitakiwe hao WAHUNI.Mkuu hakuna redio ya mjini wala kijijini ambayo haijaathiriwa na social media. Tena huko mikoani ndo hali tete zaidi. Hizo project unazosema huwa ni mara chache na kwa redio chache zitakazobahatika. Mbaya zaidi ni kuwa hadi upate huo mchongo kuna watu lazima nao wapate mgawo wao. Redio za mikoani ndo hulipa watangazaji laki 1 hadi laki na nusu. Kwa mfano Radio 5 Arusha huwa wanaweza fika hata miezi 8 hawajalipa mishahara.
Wenyewe wanaendesha hizi redio kwa shida sana... wakati mwingine ni hasara tupu. Tatizo biashara ya redio ni kama huduma kwa jamii hivyo kuifunga ghafla kama biashara zingine huwa sio rahisi. Inachukua mudaHivi hawa waajiri huwa wanawaza nini kumpa mfanyakazi laki 1 kwa mwezi? Hivi laki 1 inatosha hata nauli? Kuna waraka umetoka wa kima cha chini cha mshahara kwa sector binafsi inabidi washitakiwe hao WAHUNI.
Mambo hayatakuwa tena kama zamaniAfter MO29 Kila kitu kumebadilika.
Soon tutasikia vilio zaidi. Soon tu.
Wewe unawezaje kupata muda wa kusikiliza radio kuanzia asubuhi mpaka jioni.Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
Redio zenyewe hazina maanaz unawasha tu mtambo wa kusambaza mawimbi unaanza kuongea ongea chochotr kilichopo kichwani, kama ni vijijin ni kazi unayofanya baada ya kutoka shambani kulimaMkuu hakuna redio ya mjini wala kijijini ambayo haijaathiriwa na social media. Tena huko mikoani ndo hali tete zaidi. Hizo project unazosema huwa ni mara chache na kwa redio chache zitakazobahatika. Mbaya zaidi ni kuwa hadi upate huo mchongo kuna watu lazima nao wapate mgawo wao. Redio za mikoani ndo hulipa watangazaji laki 1 hadi laki na nusu. Kwa mfano Radio 5 Arusha huwa wanaweza fika hata miezi 8 hawajalipa mishahara.
Naona wasafi radio ni muziki asubuhi mpaka jioni, je wafanyakazi wamegoma?
Biashara inatakiwa ijitegemee yenyewe, nilikua na ndoto ya kumiliki media house 2006,ilipokuja internet na social media nikajua hiyo biashara haiwezekani,wa kwanza kuumia magazeti,wa pili radio,wa TATU TV, TV zinaweza pona zikiwa na tamthilia na documentaries nzuriUkitaka kufungua biashara jitahidi kuwa na diversity ,yaani biashara moja ikiyumba inalisha nyingine mpaka itapokaa sawa ,nilitegemea dayamondi ana biashara nyingi ukiacha redio ,anaachaje aiue biashara kubwa ya Wasafi FM wakati Mzigo anao? Si atoe fungu kwenye biashara nyingine awalipe staffs wake? Kwani staffs wake mishahara si ya kawaida tu? Afanye kama clouds wanavyofanya staffs wao mishahara penenge ila wamepewa fursa free ya kutangaza biashara zao ambazo kinawaboost kwenye mapato.
CG FM, radio ya katolikiHuko mawilayani Kuna radio zao za huko zinasikilizwa kuliko hata hizo clouds
Wadhamini Bora wapeleke Hela kwenye hizo radio kuliko kuzunguka EFM...
Mind you projects nyingi zenye Hela za mashirika na taasisi za serikali ziko vijijini na wilayani huko ndani ndani.
Nikiwa wilaya ya Nzega Kuna radio nilikuwa nasikia matangazo ya wizara ya afya sijawahi kuyasikia kwenye radio yoyote kubwa Dar
Boss yupi? Jose au SimbaHawajalipwa mshahara wa Disemba na January, Boss kafilisika
Kaa na wafanyabiashara watakwambia umuhimu wa diversity kwenye bizness.....Tunazungmzia likitokea la kutokea biashara moja inakuwa inaipa backup biashara nyingine mpaka istabalize eg kipindi cha korona utalii uliyumba lakini hawakufunga biashara.Biashara inatakiwa ijitegemee yenyewe, nilikua na ndoto ya kumiliki media house 2006,ilipokuja internet na social media nikajua hiyo biashara haiwezekani,wa kwanza kuumia magazeti,wa pili radio,wa TATU TV, TV zinaweza pona zikiwa na tamthilia na documentaries nzuri
Wenyewe wanaendesha hizi redio kwa shida sana... wakati mwingine ni hasara tupu. Tatizo biashara ya redio ni kama huduma kwa jamii hivyo kuifunga ghafla kama biashara zingine huwa sio rahisi. Inachukua muda
Wewe unawezaje kupata muda wa kusikiliza radio kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Shughuli za uzalishaji unafanya muda gani?
Watu wameacha kuwasapoti, hata wakifanya show watu hawaendi, hivyo sponsors wa vipindi (wadhamini) nao wamekimbia maana hakuna tena hadhira ya kusikiliza matangazo yao ya biashara, hii ndio faida ya kujinasibisha na wauaji.
Diamond ana share wasafi media kupitia brand image yake ya wasafi, lakini mzigo anatoa Kusaga. Majukumu ya diamond ni kuja front tu na ku-act kama hiyo ni media yake.Dayamondi si bilionea? Anashindwa kuwa na bajeti ya wafanyakazi wake kuwalipa kwa muda wa miaka miwili huku wakitafuta mikakati ya kujikwamua? Kufa kwa wasafi Fm ni aibu sana ,asiruhusu hicho kitu kutokea ,wapo mabilionea wengi wenye hela aombe support waweke mzigo ,sitaki kuamini kwamba biashara ya redio hailipi ,kila redio zina vipindi vya manabii na wasafi wafikirie pia kufanya colabo na manabii.