Tetesi: Wafanyakazi wa Wasafi Radio wamegoma?

Aache mbwembwe sasa ,sisi tunajua chibu ni bilionea "sa inakuwaje" anashindwa kulipa mishahara,hapo nimeelewa.

Na leo pia nimeona mtangazaji mwingine anaitwa sijui amy gyal na yeye ametoa senki yu.
 
Aache mbwembwe sasa ,sisi tunajua chibu ni bilionea "sa inakuwaje" anashindwa kulipa mishahara,hapo nimeelewa.

Na leo pia nimeona mtangazaji mwingine anaitwa sijui amy gyal na yeye ametoa senki yu.
Na yeye afanye kazi sasa, sio wengine wafanye kazi halafu wengine waimbe, tufanye wote kazi
 
Na yeye afanye kazi sasa, sio wengine wafanye kazi halafu wengine waimbe, tufanye wote kazi
Msikini akipata matako hulia mbwata ,waliokulia kwenye hela hata wakipata hela ukubwani haziwazuzui ,kuna watu wana mipunga ya hatari wanapanda bodaboda na kula mihogo ya mia mia mitaani yaani kwao ni kama adventure wanavyofanya kama wanakuwa wanataka kujifunza kitu.
 
Aache mbwembwe sasa ,sisi tunajua chibu ni bilionea "sa inakuwaje" anashindwa kulipa mishahara,hapo nimeelewa.

Na leo pia nimeona mtangazaji mwingine anaitwa sijui amy gyal na yeye ametoa senki yu.
Diamond mbwembwe tu lakini hana hela kwa kiwango anachojitamba nacho. Hata ile role royce alipewa kwa bei ya punguzo kubwa sana kwa makubaliano ya matangazo ya kibiashara tu. Maana role royce zilikua chache sana bongo jamaa wakaona watangaze biashara yao kupitia diamond na kweli baada ya diamond kuleta role royce zile gari zimekua nyingi sana barabarani . Sasa hivi ukipita mitaa ya kishua role royce kibao.

Michongo ya diamond ni endowments tu. Biashara yake kabisa ni hii rebo ya mziki ya wasafi ambayo sasa hivi amebaki yeye na mkewe zuchu tu.
 
Si nasikia jamaa ni bilionea?
 
Kituo kinachofata ni CLOUDS wanajifanya kukaza shingo ila hawatoboi... KILA ZAMA NA ZAMA zake.. Radio zishakua outdated
 
Aiseee inasikitisha sana ,namuhurumia Mussa Kipanya ,katema Big G(Efm) kwa karanga za kuonjeshwa(Wachafu FM) ,haya sasa kavamia mtumbwi wa vibwengo amezama nao.

Majizo mrudishe Mussa Kipanya akaungane na Baby Mama.
Mkuu boss BADO YUPO SANA HAPO na pesa ZIPO, hao ni kiki TU kuwajua hao ngumu sana
 
Hivi hawa waajiri huwa wanawaza nini kumpa mfanyakazi laki 1 kwa mwezi? Hivi laki 1 inatosha hata nauli? Kuna waraka umetoka wa kima cha chini cha mshahara kwa sector binafsi inabidi washitakiwe hao WAHUNI.
Kipindi nafanya KAZI KWA mwaarabu flani pale ilala boma kwenye HOTELI NILIKUA nalipwa EF HAMSINI KWA MWEZI afu NILIKUA serious na KAZI hatari
 
SIO kweli KIPIND mondi anaa
anzisha wasafi alikua na bifu na clouds isinge kua simple kusaga KUSUPORT, ila KUHUSU share HAPO SAWA jaPO BADO mondi ndio last say,
 
Kmmk 😁 😁 πŸ™Œ
 
😁😁😁 Ila watu πŸ™Œ
 
Media nyingi zimejikita kurusha matangazo yao Live YouTube ili angalau wapate chochote Kitu pia vipindi vya Burudani wanawatumia Mayoutuber kwenye Vipindi vyao ili walau wapate Vewz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…